President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,605
- 94,186
Kaka hapa unaandika hypothesis, lakini ki uhalisia ni kuwa mafuta yanahitajika sana, tena sana kama yanavyohitajika makaa ya mawe. Kila moja inafanya kazi katika sehemu yake. Tatizo wewe kaka unataka Petroleum ifanane na Natural Gas katika matumizi.ile ya mtwara according to my reserach inahitaji mitungi special lakini nlishaiona ikitumika mikochen ila yenyewe ni kwa pipe, inaingia home kama pipe za maji, ukiangalia soko kubwa la refinery tuseme ni vehicles and cooking, hizo jet and kutengeneza LAMI naona kama ni percent ndogo, alafu pia ukiangalia bei ya CNG kwenye magari ni kama 75% cheap kuliko petrol leave alone zile zinatumia umeme
Mm personally SIONI future kubwa sna ya mafuta but yataendelea kuwepo for those legacy engines na sehem uchumi mdogo, infact hata umeme wetu unatumia CNG ikitoka maji
Kwa sasa itachukua zaidi ya miaka 100 kuhamia kwenye Natural gas. Kumbuka mafuta yanatoa energy kubwa ukilinganisha na Gas. Sikatai umuhimu wa Gas, but mafuta bado yanaumuhimu mkubwa sana kaka.
Refinery ni muhimu mno tuwe nayo, itatupatia faida kubwa. Ukiunganisha na Kwanda cha LNG kule Kusini tutapata faida kubwa sana.
Kwenye Refinery tutapata: lubricants, plastics and other chemical
Kwenye Kiwanda cha LNG tutapata: fertilizers and glass.
Vyote vipo na umuhimu wake. Vyote vijengwe