concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Haha tembelea tamisemi tafuta muongozo wa bajeti ya 2026/2027 utakutana nayo humo
Mnaipenda kweli Tanzania 2nd and 3rd pictures are what you wish!
Kaka nimekuuliza swali simple tu. Niambie ni barabara ipi ya TARURA hapo mbeya inajengwa kwa bajeti ya Halmashauri?
Tuwekee link hapa kaka. Also nimekuuliza ni barabara ipi inayojngwa na TARURA kwa pesa toka Halmashauri ya Mbeya?Haha tembelea tamisemi tafuta muongozo wa bajeti ya 2026/2027 utakutana nayo humo
Kaka nimekuuliza swali simple tu. Niambie ni barabara ipi ya TARURA hapo mbeya inajengwa kwa bajeti ya Halmashauri?
Mbona umepost picha mbeya mzee.? 😂😂😂 picha ya pili na yatatu hapo ni Mbeya.
Wewe hakuna unachojua sawa na huyo mchina mwenzio hapo Juu.😂😂😂😂 mbeya bwana. Kabwe ni kama kariakoo. Haya pitia hapo 2025/2026 report. 👇🏾 View attachment 3580922vs Tanga 👇🏾View attachment 3580923makusanyo ya Tanga 2023/2024 ni makubwa kuliko makadirio ya makusanyo ya mbeya 2025/2026. kabwe sijui upuuzi gani kwa Tanga ni kama korogwe tu.
Hii umuokota face book. 😂😂😂👇🏾View attachment 3580924
Acha kujifurahisha . Ukitaka bajeti ya 2025/2026 bado mbeya ilikuwa na zaidi ya bil 25. Na lazima ujue mwaka 2025/2026 bado hujaisha wewe umetolea wap mapato wakati mwaka mpaka mwezi juni 30🤣🤣🤣🤣
Wewe unajua dar es salaam cc ni ipi kwanza?🤣🤣🤣Hii umuokota face book. 😂😂😂👇🏾View attachment 3580934
Mbona Tanga haipo kwenye orodha? 😂😂😂😂Hii umuokota face book. 😂😂😂👇🏾View attachment 3580934
Kwa akili yako unaona Ina dalili ya ufacebook hiyo🤣🤣🤣Hii umuokota face book. 😂😂😂👇🏾View attachment 3580934
Kaka naona umeanza kutupiga ili uweze kupitisha hoja yako. Ulichoandika hapa source ya pesa siyo halmashauri ya jiji la Mbeya bali ni World Bank. Mradi wa Tanzania Cities Development Project (TACTIC).Pitia hapo kwanza![]()
TACTIC Project invests TZS 51 billion to upgrade Mbeya City
Respondent Onlinewww.therespondents.co.tz
Uko sawa ila uliniuliza barabara zimazojengwa na tarura labda ungesema zilizotengewa na pesa ya kutoka jiji la mbeya.Kaka naona umeanza kutupiga ili uweze kupitisha hoja yako. Ulichoandika hapa source ya pesa siyo halmashauri ya jiji la Mbeya bali ni World Bank. Mradi wa Tanzania Cities Development Project (TACTIC).
Mradi wa Tanzania Cities Transforming Infrastructure and Competitiveness (TACTIC) unahusisha halmashauri 45 nchini Tanzania, ukilenga kuboresha miundombinu ya miji na uwezo wa kiuchumi.
Huu mradi siyo wa mbeya pekee. na chanzo cha mapato siyo Halmashauri bali ni World Bank.
Kaka swali langu lilikuwa clear kabisa. Swali langu ni tuambie ni barabara ipi ya TARURA inajengwa kutokana na pesa za makusanyo ya halmashauri ya Mbeya?Uko sawa ila uliniuliza barabara zimazojengwa na tarura labda ungesema zilizotengewa na pesa ya kutoka jiji la mbeya.
Hiyo Mimi hatuwezi pata ila tunaweza pata muongozo wa mapato yanavyotakiwa kusambaza kwenda tarura
Naomba basi utueleze hili. Maana ukisema TARURA, tutakuuliza REA, tutakuuliza Elimu, tutakuuliza Afya, tutakuuliza Maji nk. Kaka ikitokea Serikali za Mitaa zinaichangia Serikali kuu maana yake hakuna haja tena ya kuwa na serikali kuu kaka.Hiyo Mimi hatuwezi pata ila tunaweza pata muongozo wa mapato yanavyotakiwa kusambaza kwenda tarura
Mbona nimekuwekea video ya hizo Barabara?Kaka swali langu lilikuwa clear kabisa. Swali langu ni tuambie ni barabara ipi ya TARURA inajengwa kutokana na pesa za makusanyo ya halmashauri ya Mbeya?