Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimefurahi sana mtu kutoka huku upumbavuni ananipigia kelele. Mbeya/upumbavuni city 👇🏾😂😂😂View attachment 3580681View attachment 3580682while Tanga city 👇🏾View attachment 3580684View attachment 3580685View attachment 3580693View attachment 3580694mbeya ni hadhi ya vijiji kama Pangani Tanga or Korogwe. 😂😂😂 you ain’t even close to Tanga city. Mji uliopewa hadhi ya jiji kishabiki. Takataka 🚮
Na hii ungeiweka mbona unakomaa na ya zamani tuu? 😆😆👇👇
FB_IMG_1777368273384.jpg
FB_IMG_1776882073339.jpg
FB_IMG_1775792252388.jpg
FB_IMG_1773813374138.jpg
FB_IMG_1773641058246.jpg
FB_IMG_1772708884023.jpg
FB_IMG_1771768957235.jpg
 
mimi ni Mkigoma unajua ile mentality ya Ujiji bado ipo kaka! sasa imagine agenda ya kulazimisha landlocked kuchukua mizigo toka dryport Kigoma inatoka wapi!? Yani hatuoni fursa na haturidhiki! BTW kuna kiwanda cha saruji malagarasi pia sukari Kigoma!
Hata Mimi ni WA kg, mentality ya ujiji ni ya Miaka yote Sababu ya kuwa na wabembe wengi, ila ukitoa ujiji na mwandiga ,sehemu nyingine zote zinaendelea kwa kasi.
Ujiji waachie kina adventure na Saratoga tu
 
Punguzeni Ujinga,kwamba Songwe Viwandani ni Mkoa wa Songwe au siyo? 😆😆😆😆😆

Jengeni kwanza uwanja ndio tuje kujadiliana.
Sawa. Upo mkoa wa Mbeya lakini ki ukweli mbeya haiwezi kuifikia Tanga. Mimi siyo mtu wa Tanga lakini nimewahi ishi Tanga na Mbeya. Sijaua mpaka leo kwanini Mbeya iliitwa jiji. Inazidiwa na Moshi.
 
Back
Top Bottom