Umechukia kweli kweli mpaka unakosea jina la rais wako ha ha ha; hebu jaribu kupunguza papara🤣That refinery will never be built in your lifetime. Rito will get out of the office and another President will come with their own priorities.
maumivu ni mengi sana mjini apaThat refinery will never be built in your lifetime. Rito will get out of the office and another President will come with their own priorities.
kwahiyo ukiwapo mradi wa LNG Lindi unazuia nn huo wa Dangote Tanga?niko 50/50 kuna mradi wa $42B pale mtwara wa GAS alafu pia kuna gas stations kama 2 znajengwa dodoma kubwa kama ile ya dar, the way forward ya Tanzania ni kuachana na oil, labda wakubali lakini focus kubwa kuwauzia kenya and earn money 🤣
Sijui sana mambo ya biashara ya Mafuta lakini mwenye jibu anisaidie Kwa nini anaomb ruhusa Kwa kina Kenya na Uganda wakati Zambia wanajenga kiwanda kikubwa Cha kusafisha Mafuta lakini pia Zambia hao hao na Botswana wamenunua hisa za kumiliki kwenye kiwanda kingine kipya Cha Mafuta huko Angola.
Kwani akijenga hapa Tanzania bila hao Kuna shida gani?
View: https://www.instagram.com/p/DXe2VqTDbFu/?img_index=1&igsh=MXRia2cxOWR0aHgzaA==
Heb maliza kujifurahisha nna haraka mimi.Ingekuwa Viwanda vinabadili maisha ya watu basi Wakazi wa Pwani wangekuwa matajiri but very unfortunate ni kati ya Mikoa 5 maskini.
Hiyo Tanga Yako inaongoza Tanzania Kwa vijumba vya makuti,mabati na matope na uswazi 😆😆
Kama unabisha sema nikupe takwimu.
Mwisho huku kwetu tunashikilia uchumi wenyewe sio kampuni chache za mapebari ndio maana tuko vizuri mfukoni.
We utajua mwenyewe mjomba, kama unaona unateseka lia.Mnahesabu non existence staffs?😂😂.
Majority of those roads under Construction were already tarmacked. Is like saa hii tuanze kuhesabu Nairobi - May Summit Duall carriageway of 177km which is currently under Construction.
Nilie because Tanzania only have 15k km of paved roads while Kenya have 25k km?😂😂🤣We utajua mwenyewe mjomba, kama unaona unateseka lia.
We utajua mwenyewe, kama inauma chomoa mana umeumia huyo 😂😂Nilie because Tanzania only have 15k km of paved roads while Kenya have 25k km?😂😂🤣
Before Independece Kenya had Paved (Tarmac/Bitumen) 8,000Km 🤣🤣🤣Nilie because Tanzania only have 15k km of paved roads while Kenya have 25k km?😂😂🤣
Sisi hatujarithi hata km 1 na tunazo 21,000+ km of paved roads. 3,700 are coming. 😂😂 suala hilo linamuumiza kichwa tiwa gass.Before Independece Kenya had Paved (Tarmac/Bitumen) 8,000Km 🤣🤣🤣