Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Even after educating you yesterday bado hujui what is Skybox? Kweli wewe ni thick upstairs 😂😂😂🤣
tunaendelea kusubiria CCTV zenu na skybox zenu.. wekeni picha siku inaisha na hamjatamba sio kawaida yenu
 
modern stadium with a modern skybox, skybox ya Teargass ipo ndan ya cement
1776965908481.png
 
Sijui sana mambo ya biashara ya Mafuta lakini mwenye jibu anisaidie Kwa nini anaomb ruhusa Kwa kina Kenya na Uganda wakati Zambia wanajenga kiwanda kikubwa Cha kusafisha Mafuta lakini pia Zambia hao hao na Botswana wamenunua hisa za kumiliki kwenye kiwanda kingine kipya Cha Mafuta huko Angola.

Kwani akijenga hapa Tanzania bila hao Kuna shida gani?

View: https://www.instagram.com/p/DXe2VqTDbFu/?img_index=1&igsh=MXRia2cxOWR0aHgzaA==
 
How a skybox looks like.

1000251094.jpg


What foolish Tanzanians think Skybox looks like🤣🤣😂
1776966477514.png
 
Back
Top Bottom