stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,234
- 33,821
si unajua serikali saahv inapush sana clean fuel, sasa it doesnt make sense kupush clean energy alafu unakomaa na refinery tena, so maybe iwe kwa ajili ya mda mfupi then mbelen itakua kwa ajili ya kuuzia wengine. Oil haina future sanakwahiyo ukiwapo mradi wa LNG Lindi unazuia nn huo wa Dangote Tanga?