Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ya wakenya hapo ni refinery in Tanzania
Wache wapige kelele ila hii maneno nilishawaambia siku nyingii! The moment EACOP inajengwa South Sudan na DRC Congo watajiunga!
 
Wache wapige kelele ila hii maneno nilishawaambia siku nyingii! The moment EACOP inajengwa South Sudan na DRC Congo watajiunga!
si ndicho nlikua naelezea juzi, congo, south sudan watajoin na Tanga itakua Refinery ya region, however kenya watakua na advantage because they will build a short pipe, kutoka Tanga mpaka mombasa sio mbali unaweza kwenda na kurudi same day

The from Mombasa kuna kenya pipeline now owned by m7
 
Wache wapige kelele ila hii maneno nilishawaambia siku nyingii! The moment EACOP inajengwa South Sudan na DRC Congo watajiunga!
Howeve i doubt Tanzania will accept it since serikali imefocus na clean energy zaidi, $42B plant in mtwara for GAS
 
ati? Umetoa wapi hicho unachoongea? ingekataa basi EACOP!
niko 50/50 kuna mradi wa $42B pale mtwara wa GAS alafu pia kuna gas stations kama 2 znajengwa dodoma kubwa kama ile ya dar, the way forward ya Tanzania ni kuachana na oil, labda wakubali lakini focus kubwa kuwauzia kenya and earn money 🤣
 
Back
Top Bottom