Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,037
- 107,533
My Take
Hili halitafaulu litaishia kuwa stori.
Maamuzi kama haya ndio yalimpa Magufuli point 3 muhimu hapo asingewasubiria kina Kenya na Uganda ambao wanaona refinery ya Dangote kama mshindani Kwa Mafuta yao.
Angemtafuta Dangote na kukubaliana waanze ujenzi mara Moja,hao wakitaka watajiunga baadae 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DXgZ8eaiJXe/?igsh=MWExdmJjeG5ub2Q3cQ==
Hawa wa saizi watakuwa na vikao visivyoisha.
mpaka muelewe skybox ni nn mwaka huu
Ingekuwa Viwanda vinabadili maisha ya watu basi Wakazi wa Pwani wangekuwa matajiri but very unfortunate ni kati ya Mikoa 5 maskini.Oya umeona Tanga tunavyokuja kuwa noma sasa.? 😂😂😂 vimji vyako vya kipumbavu tunavipita kama upepo. Na si unajua Tanga jinsi ilivyopangwa.? Tukiibadilisha kidogo tu baadhi ya majengo Arusha na takatka zingine zitangoja.
Did he point the media center as skybox ama unawashwa? Hii lesson ya skybox tutahakikisha mnaielewa hata kwa motoHehehe atarudi kukuambia vile hapo ni Skybox 😂😂
If you want to know that these people doesn't know what skyboxes are, the other day baboonman aka Traveller D posted a picture of media centre claiming that was their Skybox 😂😂
we ndo ulikua unahesabu watu guest house kama tourists, bado hamjasemaI don’t believe the double difference in arrivals between the two countries. Something not right . Either wrong input or cooked numbers..
why are you forcing revenues? cant you charge low and focus on large audience?😂 😂 😂 😂 😂 😂
Something is not adding up in these numbers.
TZ apparently has more than double Kenya's tourist arrivals, but around the same tourism revenue.
If TZ numbers were legit, your tourism revenue should be about Ksh1.2 Trillion, not 520B.
Hotel and safari rates are about the same price in both countries.
its useless to build a refinery for domestic use, haina helaHujaelewa nini? Kuna haja ya kuwasubiria hao nilikwambia Wana mipango Yao? Zambia wanajenga Yao for domestic demand mbona?
Ma failure hawafai kuwa mifano.Nchi nyingi zinajenga Viwanda vyao vya kusafisha Mafuta,kuuza kutakuja tuu kulingana na mahitaji ya soko.its useless to build a refinery for domestic use, haina hela
Kenya tried it na wamekifunga kimekaa pale kimechakaaa
its useless to build a refinery for domestic use, haina hela
Kenya tried it na wamekifunga kimekaa pale kimechakaaa
Najua kiingereza hukielewi but do you understand the part that says "featuring luxurious amenities"?mtaelewa kwa lazima huu mwaka mpaka mjue skybox ni nn
View attachment 3578412
Tuoneshe ya kwenu kama ni kawaidaKawaida
so any place in a stadium with eaturing luxurious amenities ndo panaitwa skybox? we ni fala kiasi gan? do you know why skyboxes were created at first?Najua kiingereza hukielewi but do you understand the part that says "featuring luxurious amenities"?
Take your time, angalia hii video ujue tafauti ya VIP areas, Lounge and a SKYBOX you dont need to be a professional fool for you to understand a skybox and we understand kenya has never had one so we are taking this time to teach you what a skybox is and mtaelewa kwa lazimaNajua kiingereza hukielewi but do you understand the part that says "featuring luxurious amenities"?
Sasa unakataa maneno yako mwenyewe? Aren't you the one who posted this?so any place in a stadium with eaturing luxurious amenities ndo panaitwa skybox? we ni fala kiasi gan? do you know why skyboxes were created at first?
mtaelewa kwa lazima huu mwaka mpaka mjue skybox ni nn
View attachment 3578412
What is luxurious about that thing you posted?Usilinganishe luxury projects na hizi takataka zenye mnajenga we chizi.