Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani Nairobi mji wa ajabu sana. Pale city centre pasafi kweli.. nenda hatua kumi pale Ngara.. unatema mate..

You guys are good in faking.. waTanzania hatuna mambo ya kuiga iga.. waKenya jinsi wanavyo fake kila mtu utadhani anaishi Karen au Hurlinghum.. wakati karibia half of the city dwell in slums.
 
Hiyo picha ya pili ndio Oysterbay, mtaa wa kifahari! Hahaha....kweli Tanzania iko ldc not by mistake. Tukileta picha za Runda na Muthaiga watatoroka humu
ayo majina ya sehemu au dawa za miti shamba?
 
upperhill pia imeshikwa na slums😀😀😀
yani mji mzima umezungukwa na matango pori
1A4287D3-53C0-4F1F-9D27-A5A217973F31.jpeg
 
Naomba Mkenya hata mmoja anijibu
Hivi Hawa mbwa ndio nyumba zao hapo au za wakenya
na Kati ya mbwa na Mkenya nani anastahili kuishi humo
na Ipi tofauti ya Mkenya na mbwa!!


Nionyeshwe nyumba ya mbwa wa Dar
kama hizi najinyoga
12255d69d9a80e0107f6dd85641e9fee.jpg
cb755187fe672185a8974b60d322d7f6.jpg
e121f0f8c2076ca4225de944168c27ee.jpg
01c5f7f52068fbeeeb7893487acaa0fb.jpg
Ni muda mrefu sana sasa nafatilia huu mjadala kimya kimya, ila leo ukimya nimeushindwa kwa kweli. Kaka duh! Waonee huruma dah!
 
2018 NALIAMSHA DUDE kama hivi.
kenyans will never show you these photos.

thanks to the few white guys who volunteer at the slums.they are the ones who post these photos to the social media.
1c4ab1626925293ab5a37fb55b2ac5ce.jpg
bcb523bbe529aa59b0656a114840bf92.jpg
ff7d2d7d1214fa50648eb84e9044f551.jpg
b75b31ea085c53af88a3b3be7fc42518.jpg
825afd5e1b90a03be1e56d3e214c3e64.jpg
68f05256eeae1fda12f0d0a43d05a38c.jpg
3e1cde0245f71c6e437863cacd578b7c.jpg
c1fa44680116e75caa9de65d30346832.jpg
8852bcde804e8a9f0f75052c43bd1b2e.jpg
d518abbc0c2ccf48609bcda6bd29a930.jpg
3dd1456974e4d9efddb828d16d9668b8.jpg
bfd38064b1cf8fc15fdea50d42d68943.jpg
a8b6d2cbf19fe2b105fb3cc4efd265c8.jpg
03b1d8b01bd6140c95d3b742693a85be.jpg
39abbbbac9e4e4b4d6242f769354cf56.jpg
44ff251362759b7686c88429a586139a.jpg
99bfe17825b80e13a3553237dd816ccd.jpg
b2c4cf76834b5d13ada900dbcda7cce4.jpg
Sijawahi ona nyumba ya udongo dar na vijijini kama vile vya moshi na bukoba.lakini Nairobi zimejaa aisee Kenya fanyeni kitu hapo ni aibu tupu mnazidiwa mpaka na vijiji vya tz ni aibu
 
Niliposikia SGR ya Nyang'au nkashtuka kidogo, Juzi wanasema BRT inaingiza pesa ndefu kuliko sgr ya Nyang'au nimecheka kweli... Yaani mzunguko tu wa Dar tena network ya 21km ni worth more than Ile ya 400+km Nairobi-Mombasa....

Kuitwa Nyang'au na ukaitika yafaa ukapimwe Mkojo
 
Vichuguu vya kumaliza mwaka 2018 ni hivi...Nasubiri list ya nyang'au

1.MNF TOWERS 32 Flr ×2
2.MZIZIMA TOWERS 35Flr,33flr
3.PPF Tower over 35flr
4.Sky tower 22flr
5.Morocco square 22flr,20flr,17flr, Mall 20+sqm and ground parking of over 2k cars
5.Tazara flyover hii itafunika aibu ndogo ndogo...
6.JNIA terminal 3...

Miradi mikubwa itayoanza mwaka huu
1.Stieglers gorge dam, 2100MW
2.BRT sec phase 19 Km
3.Ubungo Chalinze Highway 6lanes...

Miradi iliopo kwenye ujenzi
1.Ubungo interchange
2.Kinyerezi power plants
Etc. ...
 
Back
Top Bottom