Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

halafu bora slums zao zingekuwa mbali na mji.karibia zote zipo jirani na CBD.

mfano ni kibera.yenyewe ipo kiliomita 5 tu kutoka nairobi cbd.big shame.

ushahidi huu hapa
66df4149be90ad5f459d5749a085b763.jpg

kwa wale wanaofahamu vizuri jiografia ya jiji la dar,hiyo kilomita 5 ni distance ya kutoka posta mpya(dar es salaam city centre) to kinondoni morroco.

imagine sasa kinondoni morroco ndio ingekuwa slum kubwa duniani.wakenya wangetucheka sana.tungetafuta pa kujificha wallah.

ushahidi juu cha distance ya kinondoni morroco to posta huu hapa.

645714f6369255e085960677bd7d4fa6.jpg
 
eti DC😀😀😀😀 hii nyumba anaeza ishi binaadamu kweli aise wakenya ni watu wa aina gani
634D161F-5D00-4367-8507-38209659EDFE.jpeg
 
it's good they are posting our slums...

sasa walete the high end middle class estates za eastlands kama Buruburu, ten a,innercore ,south B,south c,imara daima,syokimau, komarock,umoja phase 1,umoja phase 2 ,eastleigh,jogoo road estates athi river,fedha,nyayo embakasi,utawala and nyayo stadium estates which house 3 million nairobians......then watupee list ya middle class estates zao kama tandale tuwasaidie.......
note I only mentioned eastlands estates.

na pia tunaweza postiwa barabara za eastlando kama Mombasa road .....eastern bypass......manyanja road......outering road .....airport road....na malls za eastlando.....halafu tupime na mall ziko ndani ya middle class area za tandale changombe manzese na mwananyamala.....let the game begin.
I only picked eastlands
 
povu.
 
Back
Top Bottom