Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,588
- 15,693
Ni kweli kwamba mji wetu una slum zaidi ya moja. Lakini cha ajabu ni kwamba dar es salaam yote ni slum. Ukitoka nje ya cbd ni slum tupu, ndio maana hamletangi picha za mitaa zenu humuYani nimeudharau mji wenu kumbe una slum zaidi ya moja. Leo mimi naliamsha dude.