Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,709
Dealing with bongolalas require some level of patience. Kijana wa Tandale, mlisema ripoti iliyotolewa only mentioned Kenya and Uganda and that Tanzania was never mentioned. Mkiulizwa mlete hiyo ripoti unakuja na insha isiyoeleweka and off topic.Wewe ni mpumbavu!
Hakuna Stadium in Kenya or Uganda yenye ubora wa CAF na mechi zenu za kimataifa mnachezea Malawi.
Susi tunavyo vitatu: Azam, Aman, Mkapa.
Sasa wataflag vipi viwanja vyetu ambavyotayari vimeshapitishwa?
Hizi ni figisu za Kenya kuandika upya na kutujumuisha kwenye ujinga wenu.
Endeleeni kujitekenya ila ukweli ndio huu hapa