Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Brother Chatgpt unaweza uka personalize. Accoording to your prompt inakuletea majibu. Tell us what was your prompt?
Ukileta data ya AI hukujua unaweza personalize? Prompt yangu Iko hapo juu nimescreenshot. Wewe tuonyeshe hiyo Gemini yako yenye unasema imeweka Nakuru number 7 Vumbistan.
 
Gemini is better than Chatgpt.

Unatakiwa ujifunze kuhusu AI ili ujue. Chatgpt inatumia reinforcement learning (Kuna baadhi ya wakenya wameajiliwa GPT the add propaganda in it). Use Gemini ambayo unaongelea uhalisia

Gemini benefits from deep integration with Google’s data ecosystem, emphasizing real-time web access and multimodal processing, while ChatGPT specializes in conversational fluency and creative writing, often relying on extensive reinforcement learning from human feedback
 
NairobiWalker Tell us unataka kulinganisha Nakuru na nini?
Nakuru vs Arusha?, Nakuru vs Dodoma? Nakuru vs Zanzibar? or Nakuru vs Iringa?, Nakuru vs Moshi? or Nakuru vs Morogoro? or Nakuru vs Tanga?

Chagua wewe mwenyewe tukuoneshe uchanganyikiwe.
 
Sawa, tuonyeshe hiyo prompt yako ya Gemini tuone. Wacha maneno mengi.
 
NairobiWalker Tell us unataka kulinganisha Nakuru na nini?
Nakuru vs Arusha?, Nakuru vs Dodoma? Nakuru vs Zanzibar? or Nakuru vs Iringa?, Nakuru vs Moshi? or Nakuru vs Morogoro? or Nakuru vs Tanga?

Chagua wewe mwenyewe tukuoneshe uchanganyikiwe.
Nimekuonyesha list ya biggest cities by economy in Kenya and Tanzania combined. Kama unabisha Lete source yako. Maneno mengi hatupendelei.
 
Are you talking about a city or a County? Be specific. When it comes to economic matters, Tanzania has regions that you don't even know about, but its economy feeds all of Turkana.
 
Back
Top Bottom