Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna uwezekano ushachizika ama unakaribia, btw mtu hujui ata CAT za stadiums tunakusaidia vp?
Najua kiingereza ni kizungumkuti kwa nyamwezi kama wewe ila jaribu usome na uelewe
 
Ndio maana nimekuambia beauty is in the eye of the beholder. Unawezapata mwanamke anaonekana mrembo sana kwa macho yako ila kwa mfu mwingine, haoni mvuto wowote kwake. Kilicho kizuri kwako sio lazima kiwe kizuri kwa Kila mtu. Umesikia bongolala?

But the fact remains, hakuna uwanja umetengeneza kwa technology ya hali ya juu ukanda huu kuliko Talanta. This is a veriable fact
akuna cha beholder, uwanja ni mbaya na ndo maaana hata seats zimebaki zile zile 🤣 🤣 sasa sjui CAT 4 mnategemea kufika vp
 
Najua kiingereza ni kizungumkuti kwa nyamwezi kama wewe ila jaribu usome na useless
tumekwambia soma tarehe ya post slum dweller
1774871872338.png
 
ebu soma hio tarehe ya hio post, basi huenda ushakua chizi tayar sio bure, no wonder juzi kocha wenu alikua anashangaa kits za mazoezi kule rwanda, aliambiwa hizi hizi ndo za mazoezi na ndo za mechi 🤣🤣
Article ni ya 11/2/2026

Do you remember jana nikikuambia kwamba CAF did their inspection in February? Anyway, I know I am dealing with a nyamwezi hunter and gatherer
 
Najua kiingereza ni kizungumkuti kwa nyamwezi kama wewe ila jaribu usome na useless
we acha kupoteza mda apa mpira hujui and you will never understand it, just thank God you have people who can help you understand standard za mpira, if it wasnt for people who understood football hata zile seats msingejua ni low quality
 
Article ni ya 11/2/2026

Do you remember jana nikikuambia kwamba CAF did their inspection in February? Anyway, I know I am dealing with a nyamwezi hunter and gatherer
Inaonekana unaijua CAF kuliko watanzania, ebu tuambie walifanya inspection ya nini na nn na report yao iliotoka iko wap? kwa sababu yenu ishawekwa public, ya hoima ndo mpaka papers ziko aya tuambie walisema nn kuhusu tanzania
 
we acha kupoteza mda apa mpira hujui and you will never understand it, just thank God you have people who can help you understand standard za mpira, if it wasnt for people who understood football hata zile seats msingejua ni low quality
Wewe hapa wa kukaza fuvu ndio unajua mpira? The same person who keeps denying CAF did inspections in Tanganyika? Sasa ni mpira gani unajua wakati you are not even aware/ or in denial of this?
 
nonsense, wewe kuna mtanzania hajui mpira? Are you even aware tunaweza kukuletea katoto kapo 5 years na anajua mpira kukuzidi wewe na familia yako yote, yaani tanzania ndo unawapa maelezo kuhusu CAF leo 🤣 🤣 🤣 🤣 You are an.... basi tu
 
Wewe hapa wa kukaza fuvu ndio unajua mpira? The same person who keeps denying CAF did inspections in Tanganyika? Sasa ni mpira gani unajua wakati you are not even aware/ or in denial of this?
BTW i am 100% sure huelewi ata hujui CAT za stadiums ni nn na to host such a tournament nini kinahitajika. kwa kifupi we ni mjinga and huna akili
 
Inaonekana unaijua CAF kuliko watanzania, ebu tuambie walifanya inspection ya nini na nn na report yao iliotoka iko wap? kwa sababu yenu ishawekwa public, ya hoima ndo mpaka papers ziko aya tuambie walisema nn kuhusu tanzania
How many times do you want me to share this? Au sasa wajifanya hujui kusoma?
Screenshot_20260329-234825.jpg
 
we acha kupoteza mda apa mpira hujui and you will never understand it, just thank God you have people who can help you understand standard za mpira, if it wasnt for people who understood football hata zile seats msingejua ni low quality
wamelipa fee?
 
Back
Top Bottom