Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana AY walikuwa na kundi lao linaitwa East Coast Team, Akiweno Mwana FA, GK na wengine. Hebu tuambie AY alikuwa lebel gani hapo Kenya na ni mwaka gani? Mnapenda kutunga uongo everyday. Huo ni ujinga
I am surprised a Chinese like you don’t know how to google or YouTube… what a shame!..😁
 
Kijana AY walikuwa na kundi lao linaitwa East Coast Team, Akiweno Mwana FA, GK na wengine. Hebu tuambie AY alikuwa lebel gani hapo Kenya na ni mwaka gani? Mnapenda kutunga uongo everyday. Huo ni ujinga
AY hit when he signed with Ogopa Deejays. That was before East Coast Team. Nyimbo kama Zigo (original) Mikono juu, Binadamu ametolea Ogopa. Diamond also hit with Ogopa Deejays. Songs like Kesho and Nataka Kulewa ni za Ogopa Deejays.
 
Dealing with bongolalas require some level of patience. Kijana wa Tandale, mlisema ripoti iliyotolewa only mentioned Kenya and Uganda and that Tanzania was never mentioned. Mkiulizwa mlete hiyo ripoti unakuja na insha isiyoeleweka and off topic.

Endeleeni kujitekenya ila ukweli ndio huu hapa

View attachment 3564705
Boss achana na mpira, hujui kitu kuhusu mpira and hutakaa uelewe mpira, Unajiaibisha
 
AY hit when he signed with Ogopa Deejays. That was before East Coast Team. Nyimbo kama Zigo (original) Mikono juu, Binadamu ametolea Ogopa. Diamond also hit with Ogopa Deejays. Songs like Kesho and Nataka Kulewa ni za Ogopa Deejays.
Acha ujinga wewe. Wimbo wa Zigo aliimba baada ya kutoka East Coast. Nadhani unabuni vitu tu na humjui AY wewe. Stupid Kenyan
 
It’s an appreciation of a good thing … it’s a character very common in Kenya’s DNA … maybe you should try it sometimes…🤣🤣🤣
Then that must have been the most STUPID DNA code, una wasanii wako alafu umeshindwa kuwaendeleza umeenda kuwaendeleza wa nchi ingine, uko sawa kichwan?
 
Back
Top Bottom