Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
ni huzunilevel ya Talanta!
Nawaonea huruma , check this at half the price
9 days to go however, contractor wa kasarani na nyayo kaondoka! Are you still waiting for deadline ujue its over for youKwani deadline imefika? Desperation itakumaliza
si ndo vizuri walipe madeni hewa, mpaka wanyookeKwani hawa wajinga huwa hawajifunzi.
SGR wamejengewa kwa gharama kubwa bila sababu za msingi.
Na sasa wanajengewa uwanja kwa gharama kubwa bila sababu za msingi.
Na huwezi waona walijadili ufisadi wanaofanyiwa, poor kunyans. 😂😂😂
unataka nani acheze na hizi taa?Kwani deadline imefika? Desperation itakumaliza
CHAN yenyewe walileta shida mpaka ikasogezwa mbele, saaahv amna cha kusubiri mtu wakae tu pembenHawa wajinga mwaka jana mwishoni serikali yao ili sponsor bloggers online kuandika Tanzania inyanganywe kuhost AFCON wapewe Rwanda.
Cha kushangaza pamoja na kelele zote hizo kumbe hawajalipa hosting fee. 😂😂😂
Hili limenishtua! Maana hapa priorities zinabadilika kwa serikali za Kiafrika kama ikiwa haijalipa fee!
Hili limenishtua! Maana hapa priorities zinabadilika kwa serikali za Kiafrika kama ikiwa haijalipa fee!
apo kuna wale wenye njaa kule juu, alafu kuna mvua, kuna afcon, apo achague sasa 🤣 🤣 🤣 bila kusahau ana uchaguzi mwaka ujaoHili limenishtua! Maana hapa priorities zinabadilika kwa serikali za Kiafrika kama ikiwa haijalipa fee!
When you were told Nairobi is overrated you never understood the lesson: Are you even aware there is an ongoing nuclear site in rwanda under construction?Bongolalas like Geza uthobobwe niliona they are happy about this PR lies, ukiwauliza which companies are those, hawawezi jibu.
View: https://x.com/TheMutaD/status/2035299456036286627?s=20
Meanwhile real news reports the names of those financial institutions with certainty.
View: https://x.com/cobbo3/status/2034958852001866035?s=20