ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
i thought utakua na mawazo ya kujenga house of ur dream kumbe unawaza apartments, serious??Nimeona kwa news apartments 4,000 zitajengwa Kileleshwa.
i thought utakua na mawazo ya kujenga house of ur dream kumbe unawaza apartments, serious??Nimeona kwa news apartments 4,000 zitajengwa Kileleshwa.
Yupo apo Nai hosp fanya ukamuone naona hua unamkumbuka sana...Anaissue ngumu sana haielezeki yaniTundu Lissu vipi?
kwa ile news ya Wetlands....naskia kuna resistanceNimeona kwa news apartments 4,000 zitajengwa Kileleshwa.
mmewakamata waliohusika kweli?Yupo apo Nai hosp fanya ukamuone naona hua unamkumbuka sana...Anaissue ngumu sana haielezeki yani
Pwahahaha vilete hivyo estates...Tanzania haina estates..Unauliza makofi polisi sasa
Ingekuwa ni Kenya wangekuwa wameshakamatwa, kama walivyokamatwa wauaji wa Msonde, Jaco Juma, Abood Rogo, Makaburi, Aoko, yule Padre kule Kisumu, na polisi waliopiga risasi na kuua watu waliokuwa wakiandama wakati wa uchaguzi.mmewakamata waliohusika kweli?

Define estatePwahahaha vilete hivyo estates...Tanzania haina estates..
we leta tu picha humu tuone..Define estate
Ungetoa definition bana...labda hatuelewani lugha! !we leta tu picha humu tuone..
sasa wakiwa wanakuja ndio nini? Nyoosha maelezona Diamond wenu na Alikiba wameshinda kuja Mombasa kila weekend........how funny
we vipi? ni nani asiyefaham maana ya estates ndio tufanye kumletea definition? anyway naona uko shy....mi nitaanza bas... mipicha nakuangushia subiri....kisha ufanye kufananisha na yale migrofa ya Kariakoo pale CBDUngetoa definition bana...labda hatuelewani lugha! !
hebu weka NTV Diamond anapiga kiingereza kitamu sana...kisha Ray C ako Citizen sasa hivi
When you try to understand Kenyans
![]()
Mimi sijui maanawe vipi? ni nani asiyefaham maana ya estates ndio tufanye kumletea definition? anyway naona uko shy....mi nitaanza bas... mipicha nakuangushia subiri....kisha ufanye kufananisha na yale migrofa ya Kariakoo pale CBD