Hahaa acha kuwaumiza team ldc mazee[emoji3] [emoji191]Si kuchafuliwa jina ndugu. The fact is that your ujamaa country is listed among the least developed countries in the world. La muhimu kwako na watanzania wenzako ni kujikakamua na kujenga nchi yenu itolewe kwenye hiyo list ya aibu
Sina uhakika kama unajua unachokiongelea, kitendo cha Tundu Lisu kuja kutibiwa huko kinaeleweka, suspect mkubwa hadi sasa ni serikali kwa hiyo usalama wake ungekuwa mashakani kama angetibiwa hapa nchini, lakini siku za nyuma tulilinganisha ubora wa Hospitali za Tanzania na Kenya, tuliona kwamba Tanzanian Hospitals are better equiped and are performing more specialized medical procedures than yours, kama unataka kurudia huo mdahalo kuhusu hili, am more than than prepared.Sasa kwa hizo zote ulizotaja Tanzania inashindia Kenya nini? Do you have better health care? Last time I checked, your opposition leader was receiving treatment somewhere in Nairobi. Infrastructure hamtuguzi hata robo hata wewe unajua hivo. Education: You have one of the worst education systems in the world. hapo hata haifai tujilinganishe. Food security: mtasema tunanunu mahindi kutoka kwenu. nyinyi maziwa mnayokunywa inatoka wapi? Security: save for northern Kenya and parts of north coast, the rest of kenya is very safe
SASA NI NINI MNATUSHINDIA?
Ni aibu sana kwetu kujicompare na ldc
.WIFI zipo tu kila mahali ndugu....hapa nilipo zimejaa kote
hahahaha.... noma sanaNairobi kwa ukwasi wake na umaharufu kote dunia nzima imejaa ombaomba kutoka Dar is slum,iweje waje kwenye mji huu wetu wa raha na kuacha wakaazi limbukeni kwa slum za Dar is slum?makubwa hayo
Wewe uwezo wako wa kufikira ni mdogo sana, badala ya kuleta ushahidi, unaangalia watu mmoja mmoja, we have many Kenyans studying in our universities, is that enough to conclude that we have better universities,..stupidThe best hospitals in east Africa? Lol. What was Tundu Lisu doing in Nairobi if there are better hospitals in that ujamaa village you call a country?
sasa ndio ninakwambia dar 2017 inaweza handle 19m tons na after expansion itahandle over 35m tons, mtwara port wamemaliza expansion so wananunua vifaa vipya vya port na itaweza kuhudumi southern circuit zikiwemo malawi, zambia and part of mozambique
Tuanzie na hapa kwanza Mr. Loud MouthElectricity connectivity, Tanzania 68%, Kenya 64%.
Sasa mtauziaje Kenya maziwa wakati kenya is Africa's third biggest milk producer? Kuhusu lisu, mbona hakuenda Uganda, ama Malawi, au hata Mozambique? Aren't these your neighbours as well? Hizi figures zingine hapo juu umetoa wapi? huku tunatumia links to prove your arguments. Last time I checked, Kenya has more paved roads than Tanzania and I have the links.Hebu prove your points above please.Sina uhakika kama unajua unachokiongelea, kitendo cha Tundu Lisu kuja kutibiwa huko kinaeleweka, suspect mkubwa hadi sasa ni serikali kwa hiyo usalama wake ungekuwa mashakani kama angetibiwa hapa nchini, lakini siku za nyuma tulilinganisha ubora wa Hospitali za Tanzania na Kenya, tuliona kwamba Tanzanian Hospitals are better equiped and are performing more specialized medical procedures than yours, kama unataka kurudia huo mdahalo kuhusu hili, am more than than prepared.
Kuhusu roads, Tanzania is much better connected with roads than Kenya, here we are not talking about roads in cities, I mean inter regions/counties, Tanzania has longer road network which is tarmacked than Kenya, evidence is available if needed.
Electricity connectivity, Tanzania 68%, Kenya 64%. Many Tanzanians get clean and safe drinking water than Kenyans. Kuhusu maziwa, sisi tunayo ya kutosha, Kenya ilikuwa ikiyazuia maziwa ya Tanzaina kuja huko kwenu, ila Magufuli amesema mkiendelea kuzuia na yenu yatazuiliwa, sasa yameanza kuja huko kwenu maziwa yetu, ila ninyi mnatutegemea kwa chakula, sisi kamwe hatutegemei chakula chochote toka huko.
Sasa how do you expect Lupita not to come to Kenya or why should her coming to Kenya make headlines? That woman is a 100% kenyan so stop this lazy talk. Her mother is 100% kenyan, same to her father who is the current governor of Kisumu County. Lupita is daughter of Seme, Kisumu county for crying out loudKuja kenya hata mimi naweza kuja,ila kufanya nini???
Sasa kama unataja mafanikio ya wakenya kupitia lupita kasababu lupita anakuja tu kenya,nani ni kilaza hapa?????
Mfumo wa elimu Kenya umejikita kufundisha English na Ukabila, Very poor education system, ndio maana Hawajawahi Fanya lolote..
Common sense ain't common to all Joto la jiwe a perfect example.
Huyo fala amedai Kenya electricity's connectivity is 68% while LDC is 64%, but :Kenya has a population of 40 million with an installed capacity of 2400 meggawats while Masikini kutupwa has 55 million with an installed capacity of 1300 megawatts.
Tanzania jaribu kucheza na Burundi ama DRC ama Afghanistan hivi siyo Kenya, South Africa ama Bulgaria.
Comparing Kenya's education system with tanzania's is an insult to us Kenyans. We are just worlds apart kilaza weweMfumo wa elimu Kenya umejikita kufundisha English na Ukabila, Very poor education system, ndio maana Hawajawahi Fanya lolote..
Hilo la kwanini alikuja Kenya na isiwe Uganda au nchi ingine tofauti, inapaswa umuulize Lisu mwenyewe, ana haki ya kwenda popote anapopenda, ila sababu kubwa ya kuondoka Tanzania ilikuwa ni hiyo, bahati ni kwamba Lisu ni politicians anasikika sana katika media, lakini kuna wakenya wengi sana huku Muhimbili, hasa katika kitengo cha magonjwa ya Moyo(Jakaya Kikwete heart Instite), wanakuja kufanyiwa operation za Moyo, kumbuka kwamba Tanzania ni nchi pekee katika East and central Africa ambayo haipeleki tena wagonjwa wa moyo nje ya nchi, badala yake inapokea wagonjwa toka Kenya, Uganda, DRC, Malawi na Comoro island.Sasa mtauziaje Kenya maziwa wakati kenya is Africa's third biggest milk producer? Kuhusu lisu, mbona hakuenda Uganda, ama Malawi, au hata Mozambique? Aren't these your neighbours as well? Hizi figures zingine hapo juu umetoa wapi? huku tunatumia links to prove your arguments. Last time I checked, Kenya has more paved roads than Tanzania and I have the links.Hebu prove your points above please.