Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

26f9be3811a0273206c4f5a676c05958.jpg
5ac3fc767fd0ac6c36383733e5b574d9.jpg
378bcf6b177dc04394cd753f926aa8e0.jpg
 
Sasa how do you expect Lupita not to come to Kenya or why should her coming to Kenya make headlines? That woman is a 100% kenyan so stop this lazy talk. Her mother is 100% kenyan, same to her father who is the current governor of Kisumu County. Lupita is daughter of Seme, Kisumu county for crying out loud
Naona bla bla tu,lupita anaiingizia kenya nini??? Wakati anaishi nje ya nchi??
 
Comparing Kenya's education system with tanzania's is an insult to us Kenyans. We are just worlds apart kilaza wewe
Inawasiaidia nini hiyo elimu,hata njaa na ukabila imeshindwa kuondoa.kwanini tusiihoji???

Kwanza hata ni kuiahushia heshima elimu yetu tz.
 
Hilo la kwanini alikuja Kenya na isiwe Uganda au nchi ingine tofauti, inapaswa umuulize Lisu mwenyewe, ana haki ya kwenda popote anapopenda, ila sababu kubwa ya kuondoka Tanzania ilikuwa ni hiyo, bahati ni kwamba Lisu ni politicians anasikika sana katika media, lakini kuna wakenya wengi sana huku Muhimbili, hasa katika kitengo cha magonjwa ya Moyo(Jakaya Kikwete heart Instite), wanakuja kufanyiwa operation za Moyo, kumbuka kwamba Tanzania ni nchi pekee katika East and central Africa ambayo haipeleki tena wagonjwa wa moyo nje ya nchi, badala yake inapokea wagonjwa toka Kenya, Uganda, DRC, Malawi na Comoro island.

Kuhusu barabara za lami, huko wala usiguse ndugu yangu, sababu kubwa ya Magufuli kuchaguliwa kuwa rais 2015 ilikuwa ni hiyo, kuna barabara zimejengwa kila pembe ya Tanzania, hakuna mkoa ambao haujaunganishwa na lami, kumbuka Tanzania ni kubwa karibia mara mbili ya Kenya, na karibu mikoa yote imeunganishwa kwa barabara za lami, sio kama kwenu, ukienda Turkana, Wajir and Northen part, bado hakuna lami, tembea au waulize wenzako waliofika Tanzania watakuambia.
"Sio kama kwenu, ukienda Turkana, wajir and northern part, bado hakuna lami..." That statement above just shows how ignorant/misinformed you are about kenyan affairs. Unajifanya wajua wakati in the real sense hakuna unachijua. Unachosahau ni kwamba lapset inapitia kwa hizo counties ulizotaja ikienda Ethiopia na south sudan. lapset, among others are a few examples about how northern kenya is changing. A week ago, a docuentary aired on NTV about the changing face of northern Kenya in matters road network. Below is a link to a thread here on JF touching on road networks in northern Kenya. Jielimishe kidogo

Kaskazini ya Kenya yazidi kufunguka, maendeleo kote
 
Inawasiaidia nini hiyo elimu,hata njaa na ukabila imeshindwa kuondoa.kwanini tusiihoji???

Kwanza hata ni kuiahushia heshima elimu yetu tz.
Yenu ingekuwa bora zaidi ingeshawatoa ldc. Sisi yetu bora ndo maana hatuko huko
 
"Sio kama kwenu, ukienda Turkana, wajir and northern part, bado hakuna lami..." That statement above just shows how ignorant/misinformed you are about kenyan affairs. Unajifanya wajua wakati in the real sense hakuna unachijua. Unachosahau ni kwamba lapset inapitia kwa hizo counties ulizotaja ikienda Ethiopia na south sudan. lapset, among others are a few examples about how northern kenya is changing. A week ago, a docuentary aired on NTV about the changing face of northern Kenya in matters road network. Below is a link to a thread here on JF touching on road networks in northern Kenya. Jielimishe kidogo

Kaskazini ya Kenya yazidi kufunguka, maendeleo kote

Dar es salaam BRT by indaressalaam, on Flickr

KARIAKOO Termianl 1 by indaressalaam, on Flickr

Dar es salaam BRT by indaressalaam, on Flickr

Dar es salaam BRT by indaressalaam, on Flickr
 
Mbona umerudi kwa archives? Hizi tumeonyeshwa hapa mara mia tena tumezichoka. Kwani hakuna kipya Dar ya kuonyesha ulimwengu isipokuwa earial views za hizo three blue towers? show us simething new. Maybe estates, wide clean roads, shopping malls na kadhalika. variety is the spice of life, kumbuka
 
Lakini si nimekuambia tu ukweli ndugu yangu. Hii energy yote mnaelekeza hapa mngetumia kujenga nchi yenu, pengine haingekuwa kwenye hiyo list ya ldc. Najua ni uchungu lakini hiyo ndo ukweli
Kuandika unatumia nguvu au akili?
By the way kwnn ww usiitumie fursa hii kujikwamua na Maisha duni apo Voi? Au unaona unampa sahihi kula mlo mmoja mmoja siku
 
Mbona umerudi kwa archives? Hizi tumeonyeshwa hapa mara mia tena tumezichoka. Kwani hakuna kipya Dar ya kuonyesha ulimwengu isipokuwa earial views za hizo three blue towers? show us simething new. Maybe estates, wide clean roads, shopping malls na kadhalika. variety is the spice of life, kumbuka
Tuliza DSM

BRT Dar es salaam
Dar es salaam BRT by indaressalaam, on Flickr

Dar es salaam BRT by indaressalaam, on Flickr

Dar es salaam BRT by indaressalaam, on Flickr

Dar es salaam BRT by indaressalaam, on Flickr
 
>>>
Kitu ambacho watu hawakwambii ni kuwa hapa si Jamii Forums.
Nobody will engage in d*ck Measuring contests here. You will post pics expecting somebody to do the same with pics of Nairobi but that is not going to happen.
Kenyans are mostly busy.
Niko na uhakika ulikuwa umejipiga kifua sana pale JamiiForums venye unaenda ku-shit post JamiiForums.com ili upate mashindano ya kukuzubaisha kutoka kwa maisha magumu ya Tanzania.
It ain't happening! Guys are going to give you likes and walk onto the next thread like they didn't see through your trolling/shit-posting. Boy, you are so going to be disappointed!
 
La hasha!, hamtunyimi usingizi wala hamuwezi kutukosesha usingizi hata siku moja. Tuko tu hapa kuwapa motisha na moyo angalau mjinasue kutoka ldc. Nyinyi ni majirani zetu kwa hivyo hatufurahii dhiki na uchochole mnayopata mkiwa kwenye hiyo list ya ldc. Hiyo ndo inaitwa ujirani mwema
Ldc tunamake more Dow how?Mnasema pale korogocho kuna hela right? Wauza pweza wa Tandale humake hadi 30$ net profit kwa siku. ...
 
Kuandika unatumia nguvu au akili?
By the way kwnn ww usiitumie fursa hii kujikwamua na Maisha duni apo Voi? Au unaona unampa sahihi kula mlo mmoja mmoja siku
Ngoja ile siku nikibisha kwa mlango yako hapo ujamaa village kuomba chakula ndo utajua nakula mlo moja kwa siku. Na hiyo siku ikifika, sitasahau kukuja na hawa omba omba wenu waliovamia barabara zetu ili unaponipa chakula, na hata wao pia uwape kidogo waache kujisukuma kwenye mitaa na barabara zetu na bakuli wakiomba pesa/vyakula
 
Back
Top Bottom