Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 782
Poa, mtu njaani bongolala mwnzako anayesukuma maisha pale Nairobi CBD kama professional omba omba😀😀😀

Poa, mtu njaani bongolala mwnzako anayesukuma maisha pale Nairobi CBD kama professional omba omba😀😀😀

Hahahahaha umeliweza
Nimewauliza,msanii gani wakenya analipwa pesa kama za Mondi kwa show moja,wameingia mitiniHawana pesa ya kwenda kufanyia video nje ya nchi, Jaguar alijaribu, lakin mziki haukuwa mzuri, biashara ikamshinda

Hata tukauze bhangi, the fact ni kwamba, Uhuru Kenyatta alimpigia magoti Zhuma ili ili aondoe visa lakini mumekataliwa, sisi tunapita tu tunavyopendamnaingia kuuza dawa ya kulevya
Kawakamate ukishindwa na wee uza idiotmnaingia kuuza dawa ya kulevya
Zaidi ya kiingereza na ukabila, hawana lingine wanalofundishwa mashuleni mwao
kwanza hawana music industry hilo swali gumu sana kwao😀😀😀😀😀😀Nimewauliza,msanii gani wakenya analipwa pesa kama za Mondi kwa show moja,wameingia mitini![]()
we kilaza nini? legacy ni subaru...na legacy ni toleo la zamani...ndio, kuna subari za kisasa ila legacy ni ya zamani sana...
smh...jamaa alisema kuwa ana subaru legacy ya 2007...nikamwambia hio ni gari ya zaman sana hata nilipokuwa darasa la 7 nilikuwa naliona...sasa wewe umekimbia Google kutafta gari lingine tofaut kabisa...ndio maana huwa watu wakizungumza inabidi unawawacha wamalize mazungumzo yao...sio kuingilia na kiherehere mambo yasiyokuhusu na kujiaibisha...subaru legacy hii hapa
![]()
Wewe ushakunywa mchuzi wa albino hujielewi. Kilichobaki ni kuongea usioyaelewaTumeitisha isaidie nai kuichapa dar zote kwa pamoja zimefubazwa saa mbili asubuhi.au kuna picha zingine mlete??
After all is said and done, there's one bitter fact that you will never run away from: You live in a least developed country while I live in a developing country/economy on transition. How about that son of bongolala?Acha kutapatapa, unaogopa kivuli chako mwenyewe, jibu
1)Kenya ina kiwango kikubwa cha watu wasio na kazi duniani 48%, kweli au sio kweli?
2)Sector ya utalii ni moja kati ya sector zinazotengeneza ajira nyingi kwa wakenya, kudorora kwa sector ya utalii ni miongoni mwa sababu kubwa ya tatizo la unemployment, kweli au sio kweli?
3)Sector ya utalii ya Tanzania, imeipita kwa mbali sana ile ya Kenya kwa kuingiza pesa nyingi; TZ =KE +UG +RW, Kweli sio kweli?
Jibu kwa facts, acha kujamba
Sasa kwa hizo zote ulizotaja Tanzania inashindia Kenya nini? Do you have better health care? Last time I checked, your opposition leader was receiving treatment somewhere in Nairobi. Infrastructure hamtuguzi hata robo hata wewe unajua hivo. Education: You have one of the worst education systems in the world. hapo hata haifai tujilinganishe. Food security: mtasema tunanunu mahindi kutoka kwenu. nyinyi maziwa mnayokunywa inatoka wapi? Security: save for northern Kenya and parts of north coast, the rest of kenya is very safeAcha kulinganisha vitu vya kijinga wewe, matajiri wachache wanasaidia nini nchi kwa ujumla, Mombasa inanuka kwa takataka zilizozagaa mitaani, hao matajiri wanasaidiaje?, ndiyo maana tunawaambia akili zenu wakenya ni kama za kuku, ninyi ni sifa tu za kijinga ndizo zinazowasumbua, linganisha mambo yenye impact kwa wananchi walio wengi, kama vile, huduma za jamii, job creation, health,education, food security, water, security, infrastructure, na mambo kama hayo, sasa matajiri wewe wanakusaidiaje?
The best hospitals in east Africa? Lol. What was Tundu Lisu doing in Nairobi if there are better hospitals in that ujamaa village you call a country?Yes, but they don't die of hunger like you guys, they have best Hospitals in EA, they have less unemployment rate, no corruption, no tribalism, they have managed to pay for their electric railway from their pockets, no insecurity, no extrajudicial killings, they feed Lower middle income countries..
This just shows how ignorant you are about what is happening in the world. In matters internet hata hamfai kuongea. Kenya has the best internet services and pentration rates in Africa sasa tutavizia aje free Wi-Fi? our internet access is above 70% wakati nyinyi bado mko kwenye 13 %.Hata hauna aibu ukitaja mambo na internet mtoto wa kidanganyika. inafaa uelewe mambo unayoongelea la sivyo utaonekana mjinga wa mwishomajobless ya kikenya yameshafika kwa ile building inayo provide free Wi-Fi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huyu mchina akatubuJamanjaman![]()
![]()

hahahaha..

asante kwa porojo.This just shows how ignorant you are about what is happening in the world. In matters internet hata hamfai kuongea. Kenya has the best internet services and pentration rates in Africa sasa tutavizia aje free Wi-Fi? our internet access is above 70% wakati nyinyi bado mko kwenye 13 %.Hata hauna aibu ukitaja mambo na internet mtoto wa kidanganyika. inafaa uelewe mambo unayoongelea la sivyo utaonekana mjinga wa mwisho