Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata benzi ni gari ya zamani.kwani kuna kampuni ya magari imeanza kuzalisha mwaka jana magari unaifahamu???
we kilaza nini? legacy ni subaru...na legacy ni toleo la zamani...ndio, kuna subari za kisasa ila legacy ni ya zamani sana...
 
yet you live in an LDC and one of the poorest countries in the world... a fourth world country...outside Dar, you have villages where ppl live in forests together with wild animals and ur airports look like mud huts and u are here talking nonsense..watz wenzako wanakunya msituni sababu most tanzanians dont have accss to toilets and ur fellow counyrtymen are begging for nickels and dimes in Nairobi's CBD...😀😀😀hapa kazi tu Mungu ibariki tanzania😀😀😀
Ok. Nyc explanations
But in reality, we're the east african Giants
Even yhe world knows North Korea as the poorest country, but in reality, its one of the well endured countries
 
Acha kulinganisha vitu vya kijinga wewe, matajiri wachache wanasaidia nini nchi kwa ujumla, Mombasa inanuka kwa takataka zilizozagaa mitaani, hao matajiri wanasaidiaje?, ndiyo maana tunawaambia akili zenu wakenya ni kama za kuku, ninyi ni sifa tu za kijinga ndizo zinazowasumbua, linganisha mambo yenye impact kwa wananchi walio wengi, kama vile, huduma za jamii, job creation, health,education, food security, water, security, infrastructure, na mambo kama hayo, sasa matajiri wewe wanakusaidiaje?
Usibishane nao bro
Utaumiza kichwa
Kama Tz kuna billioners wawili uko hamna
Watatupitaje sa kwa mamillionaires
 
Ok. Nyc explanations
But in reality, we're the east african Giants
Even yhe world knows North Korea as the poorest country, but in reality, its one of the well endured countries
pengine kwa akili yako pekee...dunia yote inajua kuwa Kenya ndio inaongoza afrika mashariki na kati...ndio maana makampuni yote ya nje yamo na headquartrs Nairobi na sio kwingine
 
we kilaza nini? legacy ni subaru...na legacy ni toleo la zamani...ndio, kuna subari za kisasa ila legacy ni ya zamani sana...
Ukiwa mkenya kazi yako ni kufoka tu,bila fact.
Unajua ni ya mwaka gani??
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    22.1 KB · Views: 22
jamaa mwenyewe kakubali ana legacy ya 2007 ndugu..kuwa unauliza kwanza...sio kufululiza upumbavu wako namna hii...
Acha ubatamaji kijana.

Embu rejea maelezo yako,kwamba legency ni ya zamani sana,hiyo ni ya mwaka jana tu.

Unaandika ujinga wa wakenya wote.
 
Acha ubatamaji kijana.

Embu rejea maelezo yako,kwamba legency ni ya zamani sana,hiyo ni ya mwaka jana tu.

Unaandika ujinga wa wakenya wote.
smh...jamaa alisema kuwa ana subaru legacy ya 2007...nikamwambia hio ni gari ya zaman sana hata nilipokuwa darasa la 7 nilikuwa naliona...sasa wewe umekimbia Google kutafta gari lingine tofaut kabisa...ndio maana huwa watu wakizungumza inabidi unawawacha wamalize mazungumzo yao...sio kuingilia na kiherehere mambo yasiyokuhusu na kujiaibisha...subaru legacy hii hapa
2007_subaru_legacy_wagon_25-gt-limited_fq_oem_2_300.jpg
 
we kilaza nini? legacy ni subaru...na legacy ni toleo la zamani...ndio, kuna subari za kisasa ila legacy ni ya zamani sana...
haya kanya mkenya gani???
smh...jamaa alisema kuwa ana subaru legacy ya 2007...nikamwambia hio ni gari ya zaman sana hata nilipokuwa darasa la 7 nilikuwa naliona...sasa wewe umekimbia Google kutafta gari lingine tofaut kabisa...ndio maana huwa watu wakizungumza inabidi unawawacha wamalize mazungumzo yao...sio kuingilia na kiherehere mambo yasiyokuhusu na kujiaibisha...subaru legacy hii hapa
2007_subaru_legacy_wagon_25-gt-limited_fq_oem_2_300.jpg
Hapa unaruka kama sio wewe.achaga ufala buda.
 
wasanii wanaojivunia watz wote wapo afrika kusini wametoroka umaskini...afadhali waimbaji wa Kenya wanapiga video zao humu na kuishi humu😀😀😀kina Kiba wamefinyana kule kana kwamba ni viberiti😀😀
Una wivu wa kike wee jamaaa daaaa hahahaha
 
Back
Top Bottom