Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kwanini unapenda kujiliwaza katika data lakini hutaki kutafsiri hizo data katika uhalisia?, kwa mfano tukisema, Kenya population below poverty line is 0%, lakini;
1) 4Millions Kenyans have no food(Hunger)
2)48% Unemployment rate
3)3millions Kenyans in slams without water and sanitation
4)Police killings, Kenya is leading Africa
5)Corruption, Kenya is number 3 in the World

Are you OK with all these, so long as it has been mentioned that Kenya is in Lower middle income countries?
Are we hiding from them? The exposure allows us to know where to work on. Hiding from a problem cannot help when solving it....
 
Nilikuwa nakusubiri uje na arrogance yako ya Kikenya. Sio kutembea tu nimekaa Ulaya zaidi ya miaka 15! Ulaya hamna BULLET TRAIN....Ziko Japan ni wazi hujui bullet train ni nini. Ulaya kuna electric na diesel-electric na hazijafikia kiwango cha Bullet Train.
Wewe uliishi Scandinavian countries za Denmark, Iceland, Finland, Norway and the likes ukasema uko Europe?! Pale hakuna tofauti sana na middle income countries za africa na Asia. Nenda Paris ujionee bullet trains that connect paris to other Euopean cities in two hours or less. Na sasa kama ulaya ndo haina bullet trains as you put it here Danganyika ndo itakuwa nayo as you want us to believe? Your dreams are not valid.
 
Are we hiding from them? The exposure allows us to know where to work on. Hiding from a problem cannot help when solving it....
So why are you very much obsessed with less important things like tall building and big number of rich people and use them as indicators of Kenyan's developement instead of using these basic and important indicators?
 
Na njaa haiwaachi
163c24da45831496dadf784f486d2344.jpg
ebd97724c3b530b70339d40e9b1552e3.jpg
8974a56b00734e708434e901229aa5da.jpg

Hiyo GDP inawasaidia nn?
Hawa GDP yao haina faida yoyote, ni sawa na Ethiopia, wana GDP kubwa lakini maisha mabaya sana hakuna mfano, wananchi wanakimbia kila siku kwenda nchi nyingine!

Kenya napo njaa kila siku, maisha ya mtu mmoja mmoja ovyo ile mbaya
 
Wewe uliishi Scandinavian countries za Denmark, Iceland, Finland, Norway and the likes ukasema uko Europe?! Pale hakuna tofauti sana na middle income countries za africa na Asia. Nenda Paris ujionee bullet trains that connect paris to other Euopean cities in two hours or less. Na sasa kama ulaya ndo haina bullet trains as you put it here Danganyika ndo itakuwa nayo as you want us to believe? Your dreams are not valid.
usiumie kusikia tanzania itakua na bullet trains hatutakua na dhamana siku ukipatwa na heart attack
 
Hii reli ya tz ni ya kuunga unga... ni kama vile unataka kupika mboga lakini hauna mafuta ya kupikia... ukishapata mafuta ya kupikia tena unakuta hata kitunguu hauna... nyanya nazo hata hujui zitatokea wapi, unaomba mungu ashukishe mvua ya nyanya.... mara unarandaranda kwa majirani kuomba chumvi. ukifika nyumbani nayo unakuta gesi imeisha, unabaki kushika tama.
wananchi wa tz nao hata hawajui reli inajengewa wapi. hakuna plan, hakuna renders, hakuna design hakuna muelekeo.
 
Bombardier na dreamliner zinanunuliwa LDC...hahaha na wameshindwa kuikomboa ile iko Canada. Watanzania wanachochwa kidogo na maneno kama watoto wa chekechea.
 
Pongezi Tanzania. You will become the first country in the world to have a bullet train that snails at 160km/h. Pongezeni sana na mzidi kutia bidii
will become the first country in east and central africa to have the modern electric bullet train😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom