Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bombardier na dreamliner zinanunuliwa LDC...hahaha na wameshindwa kuikomboa ile iko Canada. Watanzania wanachochwa kidogo na maneno kama watoto wa chekechea.
endelea kuumia tu bro hatuhusiki kwa hilo😀😀
 
A835C72F-840E-43CC-990A-B806BB952B30.jpeg
 
i thought 2018 wakati tanzania inasomesha wanafunzi bure from primary to A level😀😀😀😀😀 toka kipindi cha mkapa mpaka leo miaka 23
wakat DC inawaza kusomesha bure 2019 LDC inasomesha wanafunzi bure now 23 yrs
3E611251-D750-4DCD-B808-716512B2BE94.jpeg
 
wakenya wanaanza kutumia electronic licence 2018 wakati LDC imeanza kutumia e- licence leo miaka 7 iliopita
E7B514E3-1669-4AD9-A139-209CBA21DACE.jpeg
 
Back
Top Bottom