If you and your fellows didn't understand the Toyota joke and how I used it in the statement, how can I expect you to understand the rest of the things I said? Again, the car (country) in front of you is always a Toyota (Kenya). Jaribu kuelewa kidogo sasa ninancho maanishanyie munatushinda kwa kivu vifuatavyo
debt to GDP ratio 60%
unemplyment rate 40%
below poverty line 46%
the worse and biggest slums in the world
tribalism, corruption and poor security
hunger
hehehe is toyota from kenya now???😀😀😀
Nilikuwa nakusubiri uje na arrogance yako ya Kikenya. Sio kutembea tu nimekaa Ulaya zaidi ya miaka 15! Ulaya hamna BULLET TRAIN....Ziko Japan ni wazi hujui bullet train ni nini. Ulaya kuna electric na diesel-electric na hazijafikia kiwango cha Bullet Train.Are you serious? Eti nchi gani ulaya iko na bullet train? Are you seriously asking this question? OMG! Wewe umekaa hapo ujamaa village unafikiri that is all the world has to offer! Tembea uone ndugu yangu, wacha kujiaibisha mbele ya uma.
nop hao wanauza vichwa na behewa za trainHuyo mchina ndio muwekezaji?
wapi source😀😀😀😀😀Afu SGR ya Tz requires $1.2b lakini maguful amepeana only $120million bado anaongea na Zuma, world bank na China.
nyoosha maneno bro😀😀😀😀If you and your fellows didn't understand the Toyota joke and how I used it in the statement, how can I expect you to understand the rest of the things I said? Again, the car (country) in front of you is always a Toyota (Kenya). Jaribu kuelewa kidogo sasa ninancho maanisha
Insue ni kuwa by any means itajengwa2Afu SGR ya Tz requires $1.2b lakini maguful amepeana only $120million bado anaongea na Zuma, world bank na China.
yani kinachowaumiza hawa ni wapi magufuli kazitoa 3.16b $ for phase one and two😀😀😀😀😀Insue ni kuwa by any means itajengwa2
sisi sio watu wasifa ndio maana tunafanya mambo mengi kimya kimya sana 😀😀😀😀😀😀 we utashtukia kitu tayari alafu uanze kutokwa povu vzrHii reli ya tz ni ya kuunga unga... ni kama vile unataka kupika mboga lakini hauna mafuta ya kupikia... ukishapata mafuta ya kupikia tena unakuta hata kitunguu hauna... nyanya nazo hata hujui zitatokea wapi, unaomba mungu ashukishe mvua ya nyanya.... mara unarandaranda kwa majirani kuomba chumvi. ukifika nyumbani nayo unakuta gesi imeisha, unabaki kushika tama.
wananchi wa tz nao hata hawajui reli inajengewa wapi. hakuna plan, hakuna renders, hakuna design hakuna muelekeo.
Lazima waumieyani kinachowaumiza hawa ni wapi magufuli kazitoa 3.16b $ for phase one and two😀😀😀😀😀