Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu
1000153912.jpg
 
Every time hio train ama reli ilete shida munakimbia kutafuta excuses from every other country in the world. 😂 😂 😂 Nyinyi tulishawazoea. Reli haijamaliza hata miaka 3 na imejaa mashida since it was launched.
Haya SGR imerudi kazini. Subiri mvuq nyingine uje hapa kushangilia. Btw ile issue ya umeme imeisha naona mnasubiria ajali mshangilie. Mna laana nyie.
1767430855634.png
 
Muonekano Katika Uwanja Wa Tanganyika Packers Kawe Kutokea Angani, Hawa Ni Maelefu Ya Matu Waliokuja Kumshukuru Mungu Na Kupokea Ufunuo Wa Mwaka Mpya 2026.

1767430839509.png

1767430884146.png
 
Muonekano Katika Uwanja Wa Tanganyika Packers Kawe Kutokea Angani, Hawa Ni Maelefu Ya Matu Waliokuja Kumshukuru Mungu Na Kupokea Ufunuo Wa Mwaka Mpya 2026.

View attachment 3524528

View attachment 3524530

hahaha hapo kulikuwa na the largest meat processing plant in ea kama siyo sub saharan afrika, tanganyika packers maana yake kuchinja, processing, packaging na kusambaza kuuza dunia nzima au exports, jobs were created wakazi wengi wa kawe walifanya kazi hapo kwenye hiyo industrial complex, leo hii vimegeuka viwanja vya mipasho mashine zote walifungua wakauza na leo hii zinatumika nchi nyingine kuzalishia nyama, meanwhile serikali ya tanzagiza imewatafutia kazi ya watanzagiza ya kuendesha pikipiki uae, wow what a progress ...

product ya tanganyika packers
1767431673879.png

vs

leo hii
1767431441130.png
 
View attachment 3524541

vs

leo hii
View attachment 3524540
Unatuletea Old Propaganda. Siku hizi watu wanakula fresh meat, siyo hizo nyama za makopo zilizooza.
 
Back
Top Bottom