UAP gave us a world class fireworks display for a whole 20 minutes.
View: https://vm.tiktok.com/ZMDj2NNmX/
sasa isimame kivipi wakati mna diesel locomotives? BTW unataka evidence ya mtambo wa chang'aa ku-break down?
View: https://www.facebook.com/reel/1003982746996579
inatuumiza vp sasa na wakenya wenzako washaanza vilioTalanta Stadium inawaumiza vibaya Sana.
Talanta Stadium inawaumiza vibaya Sana.
Hawa mbwa walikuwa wanaruka ruka humu kisa majangq ya sgr. Haya mzigo umerudi kwenye huduma.
Haya SGR imerudi kazini. Subiri mvuq nyingine uje hapa kushangilia. Btw ile issue ya umeme imeisha naona mnasubiria ajali mshangilie. Mna laana nyie.Every time hio train ama reli ilete shida munakimbia kutafuta excuses from every other country in the world. 😂 😂 😂 Nyinyi tulishawazoea. Reli haijamaliza hata miaka 3 na imejaa mashida since it was launched.
Muonekano Katika Uwanja Wa Tanganyika Packers Kawe Kutokea Angani, Hawa Ni Maelefu Ya Matu Waliokuja Kumshukuru Mungu Na Kupokea Ufunuo Wa Mwaka Mpya 2026.
View attachment 3524528
View attachment 3524530
Unatuletea Old Propaganda. Siku hizi watu wanakula fresh meat, siyo hizo nyama za makopo zilizooza.hahaha hapo kulikuwa na the largest meat processing plant in ea kama siyo sub saharan afrika, tanganyika packers maana yake kuchinja, processing, packaging na kusambaza kuuza dunia nzima au exports, jobs were created wakazi wengi wa kawe walifanya kazi hapo kwenye hiyo industrial complex, leo hii vimegeuka viwanja vya mipasho mashine zote walifungua wakauza na leo hii zinatumika nchi nyingine kuzalishia nyama, meanwhile serikali ya tanzagiza imewatafutia kazi ya watanzagiza ya kuendesha pikipiki uae, wow what a progress ...
product ya tanganyika packers
View attachment 3524541
vs
leo hii
View attachment 3524540
Unatuletea Old Propaganda. Siku hizi watu wanakula fresh meat, siyo hizo nyama za makopo zilizooza.
Kilizalisha ajira mwaka gani? Kwikwikwikwikwi mdogo wangu.kiwanda kilizalisha ajira na pia kuexport meat products, kilinunua ngombe ktk kwa wafugaji, waliuza ngozi, leo hii imebakia mipasho na taarabu ...
Tanganyika Packers Limited (TPL) officially ended its operations in 1993kiwanda kilizalisha ajira na pia kuexport meat products, kilinunua ngombe ktk kwa wafugaji, waliuza ngozi, leo hii imebakia mipasho na taarabu ...