Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so according to u our SGR embarkment didn't do it's job?
20260101_174405-jpg.3523712
Pillar yenyewe imebend tayari!!!
 
Tumeanza kuwagonga kwenye collection kati ya TRA na KRA. Mpaka sasa wakenya wamegoma kutoa Ripoti ya nusu ya kwanza na 2025/2026

Tanzania hii hapa:

1767364709480.png


Kwa kuzingatia trend ya makusanyo ya kenya nusu ya kwanza ya mwaka wanategemea kukusanya USD  6.18billion
Wakati Tanzania hiyo hapo ni USD 7.36 billion
 
si wameanza kuzuia malori toka Tanga kwenda Mombasa! Waweke gantry cranes na wajenge uwanja wa ndege wa Tanga! By the time EACOP inakamilika Mombasa will have a run for its money!
Mombasa inashindana na global ports like Tangier na Durban, not small ports like Dar and Tanga.
 
This is why Chinese rail systems are currently winning
Kenya's China class 1 vs Tz Turkish arema

Kenyas entire rail was built above ground with raised embarkments and heavy use of Bridges

View attachment 3524025
Hivi hizo reli zimejengwa kwemye same terrain? Same climatic conditions? Acheni upumbavu nyinyi. Extreme weather haizuiliki.
 
Hivi hizo reli zimejengwa kwemye same terrain? Same climatic conditions? Acheni upumbavu nyinyi. Extreme weather haizuiliki.
Every time hio train ama reli ilete shida munakimbia kutafuta excuses from every other country in the world. 😂 😂 😂 Nyinyi tulishawazoea. Reli haijamaliza hata miaka 3 na imejaa mashida since it was launched.
 

Nyinyi munatumia officials from Mombasa port kufanya clearance, Kenya haina ofisi at Tanga Port, unataka tufanyeje na sheria zinasema lazima kue na officials at Tanga port. Hio shida iko pande yenu oyaaa, hatuwezi toa officials from Dar port waende wafanye kazi at Tanga port. KRA lazima waweke station at Tanga port, sisi hua hatufanyi mambo kijuakali kama nyinyi huko bongoslum, itabidii mungoje KRA to set up at Tanga port. It's that simple we mzee.
 
Back
Top Bottom