Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A view that can never be found 7km away from Nairobi CBD 🔥
 
hujawahi kuona match yoyote tz ya fans wakirusha seats? zile za uganda huezi ngoa cause sio plastic! kanopy imetolewa wamesema because of climate
Wewe hata sijui unaongelea nini? Unajua mana ya canopy kweli? What's the name of this thing being installed above the seating area?
Dofoto_20260103_151352858.jpg

Hakuna kitu mbaya kama kujifanya unajua while in the real sense hakuna unachojua.

Bongolala, you are late to the party. Kuna wenye walishakosha hamu na huu uwanja hadi wakatoweka kabisa baada ya aibu kuwapata. Huu uwanja Kuna waliotabiri hautejengwa. Wakati ujenzi ulianza, wakasema haitaisha. When construction picked up and was progressing day and night, wakasema haitafanana na render. Do you know what they are saying now you included? That it doesn't have foldable seats. Na wengine wajinga wasiojielewa kama wewe are now claiming it doesn't have a canopy. Do you remember what I told you yesterday? HAUJAUMIA BADO!!
 
Hawa mbwa walikuwa wanaruka ruka humu kisa majangq ya sgr. Haya mzigo umerudi kwenye huduma.
Kuna kenge mmoja alisema pillar kwenye daraja zimepinda i guess wameleta mafundi kutoka Kenya wamezinyoosha.

Wakunya hawajielewi...wanachezeshwa mchezo na wabongo na wao wanajaa tu bila kuchujaa

Yani nguzo moja ipinde halafu daraja lote libakie intact? Lingeshuka lote tu kama ghorofa zao. Hawajui uzito wa zile top deck za SGR....ikipinda lazima daraja lote lingeenda chini.
 
Wewe hata sijui unaongelea nini? Unajua mana ya canopy kweli? What's the name of this thing being installed above the seating area?
View attachment 3524618

Hakuna kitu mbaya kama kujifanya unajua while in the real sense hakuna unachojua.

Bongolala, you are late to the party. Kuna wenye walishakosha hamu na huu uwanja hadi wakatoweka kabisa baada ya aibu kuwapata. Huu uwanja Kuna waliotabiri hautejengwa. Wakati ujenzi ulianza, wakasema haitaisha. When construction picked up and was progressing day and night, wakasema haitafanana na render. Do you know what they are saying now you included? That it doesn't have foldable seats. Na wengine wajinga wasiojielewa kama wewe are now claiming it doesn't have a canopy. Do you remember what I told you yesterday? HAUJAUMIA BADO!!
utajua hujui:
View: https://x.com/WillieOeba/status/2007403103960870920?s=20
 
hahaha hapo kulikuwa na the largest meat processing plant in ea kama siyo sub saharan afrika, tanganyika packers maana yake kuchinja, processing, packaging na kusambaza kuuza dunia nzima au exports, jobs were created wakazi wengi wa kawe walifanya kazi hapo kwenye hiyo industrial complex, leo hii vimegeuka viwanja vya mipasho mashine zote walifungua wakauza na leo hii zinatumika nchi nyingine kuzalishia nyama, meanwhile serikali ya tanzagiza imewatafutia kazi ya watanzagiza ya kuendesha pikipiki uae, wow what a progress ...

product ya tanganyika packers
View attachment 3524541

vs

leo hii
View attachment 3524540
Zilikuwa nyama tamu sana, mpaka leo sijaonja nyama kama ile.
 
Zilikuwa nyama tamu sana, mpaka leo sijaonja nyama kama ile.

yeah halafu kinachoumiza zaidi adamjee (mbunge wa kawe) alifungua mitambo yote na kwenda kujenga kiwanda nje ya nchi nyingine akauza kama srap metals, kiwanda kilitoa ajira direct na indirectly kwa maana ya wafugaji, ngozi mpka wasafirishaji wa mifugo, treni ya mizigo ilikuwa na behewa maalumu la kusafirishia wanyama, hiyo chain yote ambayo ni ajira nzuri tumeua, leo hii ni sehemu ya kuchongea midomo na blah blah ...
 
US Special Forces conduct surgical strikes against Venezuela and captured President Maduro and his wife .. wow!.. that’s some incredible operation. Cuba 🇨🇺, Colombia 🇨🇴 and Mexico 🇲🇽 could be next. Drug trafficking must end in American hemisphere. That’s the new Trump doctrine.
 
Back
Top Bottom