Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,818
Nairobi on 1/1/2026
Tutaelewana Tu.Umepima kwa kutumia metrics gani?
Weka hapa specifications za Tanzania SRG na za kunyaland Chinese class one train ndio tupime which is better.
Akitufunga shega. Tukimtandika furaha kubwa.Hatuna cha kupoteza mzee, tutapambana naye kucha kwa kucha, mdomo kwa mdomo, pua kwa pua, no retreat no surrender.
SGR yenu inakwama kila mara na bado haijaanza kubeba mizigo.Ndio tayari umeweka specifications?