Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watzee Vyuma vitakaza hadi mjambe...

Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira.
 
jokes kidogo:
my colleague is back from ushago after he went there to celebrate xmas and new year with his family.
6c227273f0cef0ea4cf1b87d73681575.jpg
 
Kwani mumechizi...na uyo dem......na chokora wa bongolala wamejaa hapa Mombasa tiari joho anawafukuza
joho mwenyewe masikini tu kashindwa kuwajengea daraja la likoni mumebakia kusongamana kama mbuzi na kondoo😀😀😀😀
18BDA6CF-8EA4-4E66-80B2-599EFCDCF536.jpeg
36A0BCAB-693C-481B-B6C5-79A975A971B2.jpeg
072708CF-1D89-448A-BB70-BEB1C634AFE3.jpeg
 
From Bongolala


Kenya watatuacha zaidi kwasababu TZ hatuna plan inayoeleweka. Kenya sasa wana sera rahisi sana wako open kwa wana EA kuhamia Kenya, kununua land na kufanya biashara. Kwa Kenya watu ni rasilimali na sio kitu cha kuogopa. Kenya diaspora wote wana haki zao zote za kikatiba na uraia na hii inasababisha uwekezaji mkubwa sana kwenye nyumba na apartments Kenya. Uwekezaji wa Kenya unasababisha serikali kuwwa na pesa kwenye vitu vingine. Kenya budget ni 100% ina garimiwa na Wakenya bila msaaada wowote. Kenya wana katiba mpya na mfumo wa county ambao ni wa kimarekani ambao unapeleka maendeleo zaidi chini na pesa inabaki zaidi kwenye kata na kusaidia zaidi walipa mkodi. Mradi wa train wa Kenya umekwisha. Pamoja na ukabila Wakenya wana furaha kuliko Watanzania. Watanzania tumekuwa tunarudi nyuma kila sehemu. Demokrasia tumerudi nyuma, uchumi tumerudi nyuma, master plan ya nchi haieleweki, uoga kwenye nchi, bank filisi, ardhi kushuka thamani,madeni ya nchi kuongezeka, hakuna uwekezaji binafsi mpya zaidi ya plan za zamani za mikopo. Uhuru wa habari unakufa, vyama vya siasa vina hujumiwa na kufa. Viongozi ni wasomi wasiojua kutenda hawana uzoefu wa utendaji. Tunapigana na rushwa wakati makama ya rushwa haina washitakiwa ..... na waliopo wachache ni wa kuchaguliwa. Kuna video za watu kutoa rushwa lakini hakuna action yeyote... polisi sasa ni chombo cha kisiasa. TRA ni chombo cha kutisha na kuua biashara. Bank ni sanamu hazitoe mikopo , hazina pesa...... Elimu bado hatuna plan wakati viwango vinaendelea kushuka. Tanzania hatuna hata statistics za kueleweka. Mfumo wa Afya unaotegemea msaada tu bila kubadilisshwa mfumo. Nchi ambayo viongozi wanajali siasa zaidi kuliko chi. Nchi ya wajuaji bila kuwa na la kuonyesha. Viongozi ambao wanajali habari kuliko ukweli na wananchi... viongoizi wasioweza kusemwa, kushauriwa au kubadilika......... I wish tungekuwa na viongozi wa Kenya maana sina imani tena... hata rushwa ni macho tu magari ya mchanga hayafanyi kazi mchana kwasababu ya rushwa kuzidi na kuchukua faida yote.....
Kwa ufupi Kenya ni open country na Tanzania ni closed country...
 
Watzee Vyuma vitakaza hadi mjambe...

Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira.
buda unadhani hiyo nayo ni big news?.

soma hizi recent tweets za baadhi ya wakenya uone ni namna gani mnalia kulalamika na kusaga meno kuhusu suala la ukosefu wa ajira.

44a25cad630cf090905cc479c9080723.jpg
6f2c702d65b5f41792e8d7d4301cd204.jpg
d9df23993251e92f9aedafc172e716e6.jpg


NB:
vilio vya wakenya kuhusu ukosefu wa ajira ni vingi sana.

sambaba na malalamiko yenyu mengine,mmejaza server ya twitter kwa kulalamika kuhusu ukosefu wa ajira.
 
Another one from Tz...

Bidhaa za Kenya ni Bora na zinanunulika Tanzania. BLueband, Mafuta Fresh, Juices, Mafuta ya KCC, Siagi, Cofta, Hedex na nyingine kede kede
Embu Nenda Kenya kama utaona bidhaa za TZ supermarket za kenya?
Watz wanadanganywa na kauli mbiu ya Tanzania ya Viwanda...Wao Kenya ni Vitendo
Sera inayotekelezeka Tanzania ni kuuwa upinzani
Nao ViwaviJeshi kazi yao ni matusi, hawawezi kujenga hoja na kujibu hoja, wanatukana watu wanaokosoa serikali
 
Back
Top Bottom