Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo video kama sijakoeea ni ya Upanga. I have said here time and again that Upanga is one of the few places you'd find apartments in Dar, the other ones being Masaki ( Dar's most affluent estate) and few others.

On the contrary, apartments are everywhere in Nairobi ( except in areas with zoning laws like Karen, Muthaiga, Gigiri, Loresho and other high-end neighborhoods).

Kama nadanganya, hebu niletee aerial pictures za Bugurini, Chanika, Madale na maeneo mengine tuone apartments. The truth is, apartments are limited to very few areas and Upanga is just one of them
Sawa.
 
We jamaa ni taahira kweli kwani skyline imepata maana nyingine mpya? Tunduma tu ina skyline

Yaani naislum kuongeza vijengo ushenzi ndio unataka kubadilisha definition ya skyline 😂😂😂
Bongolala, so kati yangu na wewe who forces issues nani mjinga?

You said that this picture below does not qualify as a skyline
1766697491500.png

...and you are now telling us sijui Tunduma iko na skyline. Kwamba a city like Nairobi haina skyline but a village center in Tanzania has one! Is this how blind patriotism can make you u bend?

That's why i asked you a very simple question: does Dar have a skyline? If you can't answer this question then you better keep quiet
 
Io
kwa maoni yangu sidhani kama kuna advantage yoyote mji kuwa ''spread out'' kama ulivyoandika in terms of quality of life ya wakazi mji husika, kwani mara nyingi hizo ni informal settlements, kwangu mimi dar imetanuka sana bila ya mpangilio na matokeo yake ndiyo hayo kila kitu hakitoshi, maji hayatoshi, mabasi hayatoshi, barabara ndiyo hivyo kwa maana mji umekuwa mkubwa bila ya miundo mbinu kuufwata, hivyo ni bora mji uwe mdogo lkn huduma zote au karibia zote ziwepo, sasa hivi dar inaungana na bagamoyo wakati ilipaswa kuwe na tofauti kwani ni mikoa 2 tofauti, ukienda upande wa mr rd pia inaungana kibaha ambapo ni mkoa mwingine, kusini nako imeshaungana na pwani na hii ni tanzania nzima ukienda klm mji wa moshi imeshaungana na arusha watu wanajenga lkn hakuna planning, not good kwa maoni yangu.

tuna matumizi mabaya sana ya ardhi, usisahahu hii ardhi inapaswa iwepo kwa miaka 300 ijayo kwa wengine kuitumia pia ..
 
Si ulisema you don't care about my education ama. Hiki nini unaandika. Why are you obsessed with my education so much 😆
Why can't you just chill until that day you will hold a bachelor certificate in your hand? Unapiga kelele hapa yet you don't have anything.
 
Why can't you just chill until that day you will hold a bachelor certificate in your hand? Unapiga kelele hapa yet you don't have anything.
Always nakaa kimya kuhusu elimu, huwa naongea kuhusu Kenya vs Tanzania tu. Lakini wewe kila mara unakuja hapa unaanza kuongelea elimu yangu, wewe ndio unapenda kudiscuss kuhusu elimu yangu. Why?
 
Always nakaa kimya kuhusu elimu, huwa naongea kuhusu Kenya vs Tanzania tu. Lakini wewe kila mara unakuja hapa unaanza kuongelea elimu yangu, wewe ndio unapenda kudiscuss kuhusu elimu yangu. Why?
Because you are an idiot.
 
Because you are an idiot.
Basi, mimi nitaendelea kuitetea elimu yangu every time ukiitaja. Kama hutaki kuisikia basi hakikisha hauongelei elimu yangu. La sivyo utazidi kuumia moyo bure, maana suala la mimi kuwa University student in one of the best Engineering schools in Tanzania linakuumiza sana 😆😆
 
Basi, mimi nitaendelea kuitetea elimu yangu every time ukiitaja. Kama hutaki kuisikia basi hakikisha hauongelei elimu tangu. La sivyo utazidi kuumia moyo bure, maana suala la mimi kuwa University student in one of the best Engineering schools in Tanzania linakuumiza sana 😆😆
Which school is that?
 
kwa maoni yangu sidhani kama kuna advantage yoyote mji kuwa ''spread out'' kama ulivyoandika in terms of quality of life ya wakazi mji husika, kwani mara nyingi hizo ni informal settlements, kwangu mimi dar imetanuka sana bila ya mpangilio na matokeo yake ndiyo hayo kila kitu hakitoshi, maji hayatoshi, mabasi hayatoshi, barabara ndiyo hivyo kwa maana mji umekuwa mkubwa bila ya miundo mbinu kuufwata, hivyo ni bora mji uwe mdogo lkn huduma zote au karibia zote ziwepo, sasa hivi dar inaungana na bagamoyo wakati ilipaswa kuwe na tofauti kwani ni mikoa 2 tofauti, ukienda upande wa mr rd pia inaungana kibaha ambapo ni mkoa mwingine, kusini nako imeshaungana na pwani na hii ni tanzania nzima ukienda klm mji wa moshi imeshaungana na arusha watu wanajenga lkn hakuna planning, not good kwa maoni yangu.

tuna matumizi mabaya sana ya ardhi, usisahahu hii ardhi inapaswa iwepo kwa miaka 300 ijayo kwa wengine kuitumia pia ...

Kila kitu kina faida na hasara, horizontal vs vertical city building zote zina faida na hasara
Binafsi napenda Tanzania way of building cities, zinachukua sehemu kubwa kwa sababu kila mtu anataka kujenga nyumba yake, badala ya kubanana kwenye appartments, na watu wakijenga nyumba lazima huduma ziwafuate huko ndio maana unaona Dar 30km from the city bado kuna banks, markets etc though I agree it's costly
Halafu miaka 300 ijayo hizo nyumba hazitakuwepo mkuu, ardhi inatosha sana, lazima baadhi ya nyumba zitakuwa demolished, ardhi haijawahi kuwa kikwazo
Both ways zina faida na hasara, na kwa maoni yangu napenda style yetu ya ujenzi, kuliko ya Kenya ya kukaa kwenye appertments ili kuminimize land usage
Sisi hatuna uhaba wa ardhi
 
Back
Top Bottom