stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,803
- 34,557
naskia sku izi mnaitwa city under cholera
naskia sku izi mnaitwa city under cholera
Kutopangilia mji ni kosa la serikali sio mwananchi anaenunua kiwanja. Sheria za mipango miji zipo ila rushwa na uzembe serikalini ndio sababu hazifuatwi. Hata huduma serikali ndio jukwaa lake. Zoezi la kuweka address sasa hivi hadi porini huko mitaa ina majina na namba. Hata unayoiona haina ukienda serikali za mitaa utapiewa jina na namba.lkn siyo realistic kwamba kila mtu ajenge nyumba yake, kuna nchi kubwa klk tanzania na zina watu wachache klk tz lkn hawachezei ardhi hovyo kama vile tz, tz kila mtu akipata milioni 5 anakwambia najenga nyumba, hiyo ndiyo sababu sehemu kubwa ya wakazi wa dar ni informal settlement, sehemu kubwa hawana maji, hakuna drainage system mvua kidogo mafuriko mji mzima sababu hakuna mifereji au imezibwa na majengo ya watu, watu hawana address kwamba anaishi kwenye mtaa wenye jina na namba ya nyumba n.k. zamani karibia kila nyumba dar ilikuwa na namba na jina la mtaa official kabisa, ulikuwa unaweza kuchukua teksi na kumwambia dereva teksi nakwenda labda temeke mtaa fulani nyumba namba fulani na akakufikisha bila ya shida leo hii huwezi kuchukua teksi ukasema akufikishe labda kibamba au sijui mabibo yoote karibia ni makazi yasiyo rasmi hakuna maji, barabara wala viwanja vya watoto kucheza, hakuna open spaces sasa mji gani huo wenye watu zaidi ya milioni 5 na hakuna parks za wananchi kupumzika? ...
Kutopangilia mji ni kosa la serikali sio mwananchi anaenunua kiwanja. Sheria za mipango miji zipo ila rushwa na uzembe serikalini ndio sababu hazifuatwi. Hata huduma serikali ndio jukwaa lake. Zoezi la kuweka address sasa hivi hadi porini huko mitaa ina majina na namba. Hata unayoiona haina ukienda serikali za mitaa utapiewa jina na namba.
Lakini umesema sio kila mwanachi lazima anunue kiwanja ajenge ndio sababu ya uholela. Uholela ni uzembe wa serikali na sio wananchi kununua viwanja na kujenga. Hayo yote uliosema hapo juu ni uzembe wa serikali.hakuna mahali nimelaumu mwananchi, najua ni kosa la serikali kuruhusu kila mtu kujenga vibanda kiholela kila mahali.
siyo kila mahali ni pakujenga kila kibanda, dar ina square km >1500 ni nyingi sana lkn hakuna hakuna park ya watu kupumzika, viwanja vya michezo vya watoto na vijana vyote vimejengwa vibanda, ukiangalia bird eye view ya dar unaweza kulia, ushawahi kutua dar na ndege halafu ukaangalia chini mabati kutu kila mahali, not good.
ukiingia dar unatokea nje ya nchi kwa hali ya kawaida mtu anakuwa na shauku ya kuona mji lkn kuanzia kibaha kushuka haivutii kabisa, vibanda, gereji bubu kila mahali magenge ya nyanya na mkaa just chaos, ukiangalia mabondeni kimara wamejenga kiholela no planning, mji una watu zaidi ya milioni 5 lkn hakuna highway system ya kuzunguka mji, kuna watu wanatumia masaa 4 kwenda na kurudi kazini kila siku kwenye usafiri tu, not good, dar siyo mji beautiful kabisa yaani, na ukiniuliza mimi dar is a lost cause, labda tujaribu dodoma na miji mingine kwa kujifunza kutokana na makosa tuliofanya …
Don’t worry, that road is under repair 😅
Naona Umeenda back in time.. the only relevance ya hizi picha ni history. Let me ask you, umetembelea Nairobi before?actually the most beautiful rendered
View attachment 3521180View attachment 3521181View attachment 3521182View attachment 3521183
View attachment 3521185
View attachment 3521187
btwn do you know its voted as the city with the worst smell in africa?
Lakini umesema sio kila mwanachi lazima anunue kiwanja ajenge ndio sababu ya uholela. Uholela ni uzembe wa serikali na sio wananchi kununua viwanja na kujenga. Hayo yote uliosema hapo juu ni uzembe wa serikali.
Na kuondoa hio yote ni serikali inayoweza kuondoa hizo unplanned settlements.
Walichofanya Magomeni Kota wanaweza kufanya sehemu nyingi jijini. Kenya wanafanya hivyo Nairobi we still have time.
Umesema kitu watanzania wengi hawapendi kusema: Aerial view ya dar na jinsi nyumba zenye kutu zimetapakaa kila mahalihakuna mahali nimelaumu mwananchi, najua ni kosa la serikali kuruhusu kila mtu kujenga vibanda kiholela kila mahali.
siyo kila mahali ni pakujenga kila kibanda, dar ina square km >1500 ni nyingi sana lkn hakuna hakuna park ya watu kupumzika, viwanja vya michezo vya watoto na vijana vyote vimejengwa vibanda, ukiangalia bird eye view ya dar unaweza kulia, ushawahi kutua dar na ndege halafu ukaangalia chini mabati kutu kila mahali, not good.
ukiingia dar unatokea nje ya nchi kwa hali ya kawaida mtu anakuwa na shauku ya kuona mji lkn kuanzia kibaha kushuka haivutii kabisa, vibanda, gereji bubu kila mahali magenge ya nyanya na mkaa just chaos, ukiangalia mabondeni kimara wamejenga kiholela no planning, mji una watu zaidi ya milioni 5 lkn hakuna highway system ya kuzunguka mji, kuna watu wanatumia masaa 4 kwenda na kurudi kazini kila siku kwenye usafiri tu, not good, dar siyo mji beautiful kabisa yaani, na ukiniuliza mimi dar is a lost cause, labda tujaribu dodoma na miji mingine kwa kujifunza kutokana na makosa tuliofanya …
10,000 seats „kipchoge keino stadium“?Mende anaongezewa 4 star hotel na shopping mall👏👏...actually this thing is starting to look much more better than the renders.
View attachment 3521308kasarani stadium...
View attachment 3521312Kipchoge keino stadium U/C👏
View attachment 3521313View attachment 3521314View attachment 3521331View attachment 3521316
Na pia kitu ambacho Wakenya hawapendi kusikia. Kibera is not far from those Nairobi skyscrapers, so they can all be seen together in an oblique video, let alone aerial viewUmesema kitu watanzania wengi hawapendi kusema: Aerial view ya dar na jinsi nyumba zenye kutu zimetapakaa kila mahali
around 3 years back, however every development inafanyika hua inakua kwenye news so its the same, however pia in terms of usafi ni hio river naona mmebadilisha pamoja na pale nje pipeline wakati mosira akiwa kwenye kiti, sehem zingine tunazijua vizuriNaona Umeenda back in time.. the only relevance ya hizi picha ni history. Let me ask you, umetemvelea Nairobi before?
btw last 3 months nairobi was voted as the city was the worst smellNaona Umeenda back in time.. the only relevance ya hizi picha ni history. Let me ask you, umetemvelea Nairobi before?
Who voted? Where did the voting happen? Who became last in that vote? Who was that? Do you mind giving us the link of the voting results?btw last 3 months nairobi was voted as the city was the worst smell
10,000 seats „kipchoge keino stadium“?
View: https://youtu.be/WRVND7TN6HM?si=dfLyqjqLY_xrXlGw
MY TAKE
Should be called a mini stadium!