Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Old settlements indeed. Old settlements wakati Google earth images show such houses dottting the entire dar skyline. From Bugurini, Tandika, Keko, Mwananyamala, Manzese, Tandale, Yombo, Tabata, Mabibo nk, ni wapi sio uswazi? Hizo "proper" hoses mnazojenga mnazijenga hewani?
Wewe jamaa huwa ni mpumbavu sana
Sasa maeneo hayo uliyotaja ndio Dar nzima. Kitu kimoja naweza kuungana na wewe hayo maeneo uliyotaja ni uswazi kweli.
 
Old settlements indeed. Old settlements wakati Google earth images show such houses dottting the entire dar skyline. From Bugurini, Tandika, Keko, Mwananyamala, Manzese, Tandale, Yombo, Tabata, Mabibo nk, ni wapi sio uswazi? Hizo "proper" hoses mnazojenga mnazijenga hewani?
Mtu wa kawaida anaetaka kujenga Dar sasa hivi atajenga nje ya mji kama Kigamboni,Goba,Madale, Mbweni ambapo kumepimwa. Huko uswazi pamoja na kuwa hovyo inabidi ununue nyumba ya zamani uivunje na ni gharama kuliko kununua kiwanja na kujenga nje ya mji.
 
Old settlements indeed. Old settlements wakati Google earth images show such houses dottting the entire dar skyline. From Bugurini, Tandika, Keko, Mwananyamala, Manzese, Tandale, Yombo, Tabata, Mabibo nk, ni wapi sio uswazi? Hizo "proper" hoses mnazojenga mnazijenga hewani?
Hivi tukuoneshe hayo maeneo sasa hivi kwa ground yapoje!?
Kenyans mna ubishani wa kisenge!?
Hayo maeneo unayoyataja yanarekebishwa kila leo na kuna construction kila mahala.
Pia utofauti wa TZ na Kenya ni moja.
Dar ni mji ambao haujapangika hilo lipo wazi,ila lina proper houses.
Kenya mna slums na nyumba nyingi za mabati kitu ambacho TZ haukikuti.
Yani tulichokosea Dar ni upangiliaji miji tu.
 
Land is owned by the rich and politicians 🤣🤣🤣🤣
Voice of consolation from a bongolala

Oya, I own several acres of land back home. I don't know whether I should classify myself as a politician or as a rich person
Bongolalalas will never comprehend the Kenyan culture of land ownership. It’s like a sacred experience.
 
Naangalia pia hapa SA Vs Angola uwanja una mashabiki wachache sana.
Wanuka mavi mbona hawalalamiki! 😂😂😂
Afrika matatizo yetu ni yale yale sema hawa kenge wanajitoa ufahamu. Hapa mechi zitalazojaa ni za Morocco tu labda na kuanzia semi finals. Nibwaafrika wachache sana wanaweza kusafiri na timu zao . Hii ndio sababu caf champions league na confederation finals zinachezwa home and away ili home teams zijaze uwanja vinginevyo ikiwa neutral ground kuba hatari finals kukosa watazamaji uwanjani.
 
Don't twist my observation. Land is plenty in Tz anyone can own a plot unlike Kenya land is owned by the rich and politicians so it make perfect sense to buy apartments in Dar we build our own houses mostly.
1)I don’t know where you got the perception that land in Kenya is owned by politicians and the rich only.
2)You did not address the villas/masions situation, you stuck to apartments. How do people obtain land in Daresaalam?
 
Naangalia Afcon leo mechi ya tatu,kila uwanja una running track! Hawa Moroko vipi tena? Alisikika nyang'au mmoja akiropoka.
IMG_6385.jpeg
 
Back
Top Bottom