Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,216
- 33,434
Mtu akiskiq vile unaongea anaezadhani huwa mnajaza viwanja vyenu, kumbe hata cya 1500 seats hamuezijaza.Hii movie si ilishatokea kasarani, the end game ilikua nn?
Mtu akiskiq vile unaongea anaezadhani huwa mnajaza viwanja vyenu, kumbe hata cya 1500 seats hamuezijaza.Hii movie si ilishatokea kasarani, the end game ilikua nn?
kwamba hua haujai? 🤣 hujui kwamba huo uwanja unajaa ata timu moja ikiwa na eventMtu akiskiq vile unaongea anaezadhani huwa mnajaza viwanja vyenu, kumbe hata cya 1500 seats hamuezijaza.
our league is way better than urs! tena by far! AND we r building 30,000 to 35,000 seats olmpic stadiums for multipurpose usage for smart reasons!So zenu ndio will not go to waste?
Huwezi kuamini Ghana, South Africa leo wanashabikia Taifa Stars. 😂😂😂Wanigeria wenzangu tujuane kabisa kabla ya 20:30 hii leo huko morocco
Hao wanajisumbua tu,stars leo imekula goli chache 4,haiwezekani kwenye kila kitu muingize siasa halafu mkafanikiwaHuwezi kuamini Ghana, South Africa leo wanashabikia Taifa Stars. 😂😂😂
Sidhani kama wachezaji wana makosa, deal na mwenye makosa.Hao wanajisumbua tu,stars leo imekula goli chache 4,haiwezekani kwenye kila kitu muingize siasa halafu mkafanikiwa
U r not a football nation that stadium will go to waste!
Viwanja vyenu mlivyo karabati na kujenga vipya vyote viko Nairobi??So zenu ndio will not go to waste?
Kwenye kuingiza siasa naungana na wewe na limeharibu pakibwa sana to a point hata maudhurio kwa timu na just ended CHAN hayakuwa mazuri.Hao wanajisumbua tu,stars leo imekula goli chache 4,haiwezekani kwenye kila kitu muingize siasa halafu mkafanikiwa
Viwanja vyenu mlivyo karabati na kujenga vipya vyote viko Nairobi??
Ligi yenu ni mbovu na haina hela. Mara baada ya AFCON hivyo viwanja vitakuwa mzigo mkubwa kwa your broke government.
Hii ni Kisirani imemea majani ya mbuzi?
😀 😀Utashangaa wananchi watakavyoshangilia kipigo cha Stars.Sidhani kama wachezaji wana makosa, deal na mwenye makosa.
uzuri Mungu si athumaniHao wanajisumbua tu,stars leo imekula goli chache 4,haiwezekani kwenye kila kitu muingize siasa halafu mkafanikiwa
hawa kila kitu solution vitaBack to default setting 😄😄😄
Ila kutakuwa na vituko na aibu. Hizi big stage zinahitaji seriousness otherwise usiingie. Mambo ya kubahatisha halafu hujiandai serious tutatia aibu.Wanigeria wenzangu tujuane kabisa kabla ya 20:30 hii leo huko morocco