BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,034
- 2,523
Nangojea kuona reli yenu yA mizigo vile itafanana juu ata render hakuna.IN LDC TANZANIA
![]()
IN DC KENYA
![]()
D! Acheni mungu aitwe Mungu![]()
![]()
![]()
![]()
Nangojea kuona reli yenu yA mizigo vile itafanana juu ata render hakuna.IN LDC TANZANIA
![]()
IN DC KENYA
![]()
D! Acheni mungu aitwe Mungu![]()
![]()
![]()
![]()
sgr imekushinda hahah punguza hasira😀😀😀Chooboy01 apana quote Mimi tena bila picha ya 12lane highway in Tanzania.
Upande wa sgr tumeshazika HawaMeanwhile wengine wakikenua meno na project moja sisi hapa ni kusema na kutenda.
Bechtel usa new Mombasa to Nairobi Express Road Highway by PPP
Angalia carvature radius ya reli yenu afu ulinganishe na ya Kenya...your answer lies there.
Juu ata render hakunaNangojea kuona reli yenu yA mizigo vile itafanana juu ata render hakuna.
Sisi huonyesha watu picha halisi renders ni za wakenya.Nangojea kuona reli yenu yA mizigo vile itafanana juu ata render hakuna.
hawana zaidi ya highways ukiona mkenya anakimbilia kwenye highways ujue kashindwa😀😀😀😀Upande wa sgr tumeshazika Hawa
tafuteni pakuchukulia marks sasa![]()
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Renders vs reality... Our renders too were beautiful let's wait for dar realityIN LDC TANZANIA
![]()
IN DC KENYA
![]()
D! Acheni mungu aitwe Mungu![]()
![]()
![]()
![]()
Kwani ushai panda iyo sgr yah kenyakuna mpuuzi mmoja alisema sgr from msa to nairobi wanalipa only 7usd kumbe muongo economy class wanalipa 900ksh sawa na 8.74usd😀😀😀😀
sijui kwann wakenya munahusudu uongo
View attachment 666290
Kenya: What It Will Cost to Travel on New SGR Railway
who laughs last laughs best. ngoja siku ya siku tuone vichwa vikishukishwa dar port. kuna watu watajua hawajuiRenders vs reality... Our renders too were beautiful let's wait for dar reality
Nyie MNA sgrUpande wa sgr tumeshazika Hawa
tafuteni pakuchukulia marks sasa![]()
![]()
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Retrenchment in Danganyika?
Mdororo wa biashara waathiri mapato ya Serikali katika robo ya kwanza ya Bajeti 2017/2018
According to Treasury’s Budget Execution Report for the First Quarter of 2017/18 (July – September, 2017), sluggish business activities played a big role in missing domestic revenue targets for the period.
Factors that contributed greatly to the fiscal underperformance included decline of sales of goods for local markets faced by some big taxpayers. Treasury says retrenchment of workers in some companies was another decisive factor as well as decline in the importation of goods.
The budget execution report has it that the retrenchments caused by slowdown of activities led to the underperformance of pay-as-you-earn tax (PAYE), which is a withholding tax on income payments to employees. Similarly, it adds, the underperformance of withholding tax was caused by slowdown of exploration activities from oil and gas companies.
“Corporate tax performed at 83 per cent due to decline in business activities in various sectors such as manufacturing and finance which has caused some taxpayers to amend downwards their corporation tax payable for 2017/18. Individual income tax performed at 75 per cent while withholding tax performed at 97 per cent,” reads the report.
Hahaha Hapo ndio nakupendeaga du!IN LDC TANZANIA
![]()
IN DC KENYA
![]()
D! Acheni mungu aitwe Mungu![]()
![]()
![]()
![]()
Goja tuone watajua wajuiAti SGR ya Tz itakuwa na power Bank kwa vile Tanesco Hauna uwezo wa kuzalisha stima. No wonder Hii taarifa imerushwa Kenyan Section baada ya kukataliwa pande ya Tz.
Nyie mnanni......unajua nyie bongolala huwa mnanishangazahawana zaidi ya highways ukiona mkenya anakimbilia kwenye highways ujue kashindwa😀😀😀😀
wakati dar inabarabara nyingi sana in km than nairobi hilo hawalizungumzi
Wee unaduu nii kwa maboyzHahaha Hapo ndio nakupendeaga du!
Sema sasahivi sikuoni sana kule jukwaa la siasa
Itakuja kuwekwa umemeUnajua nini iyo sgr ye2 kama ivyo mnataka itakuja kuekwa umeme
