FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,401
- 2,751
Na wewe you are too old to think.Kwikwikwikwikwi You sound like a young boy, your age is less than 25 year
Na wewe you are too old to think.Kwikwikwikwikwi You sound like a young boy, your age is less than 25 year
Hakuna mtu amepanda usafiri huu ni 25 years. Kwenye Depot pale Ubungo kulikuwa na restaurant ya chakula inaitwa Abiyan miaka ya 1982/3/3/5 to 1990s. Baaday ya usafiri wa Uda kuleta tafran mabasi ya watu binafsi yalianza kazi hasa Ashok Leyland, nakumbuka mpaka baadhi ya majina ya mabasi hayo kama "Jadide" hiyo ni 1980s.Kwikwikwikwikwi You sound like a young boy, your age is less than 25 year
Naliona kumba kumba hapo.Hakuna mtu amepanda usafiri huu ni 25 years. Kwenye Depot pale Ubungo kulikuwa na restaurant ya chakula inaitwa Abiyan miaka ya 1982/3/3/5 to 1990s. Baaday ya usafiri wa Uda kuleta tafran mabasi ya watu binafsi yalianza kazi hasa Ashok Leyland, nakumbuka mpaka baadhi ya majina ya mabasi hayo kama "Jadide" hiyo ni 1980s.
View attachment 3515659
Katikaki chini lina mduara mkubwa unazunguka likikata kona.Naliona kumba kumba hapo.
Mtandao hawawezi kuendelea kuongoza, kutoka kikwete mpaka kwa Rizwan, hapo kati, kuna pengo. kuna wakina Nchimbi, Mugwilu, Makamba na wengine wengi. Hapata kalika.There is nothing you can do. Samia ni member wa gang la Kikwete linalozimika kwa kasi. Yeye na senior members wa group hilo hatuta kuwa nao muda si mrefu.
Ulijinadi kuwa unazo za ndani, cha ajabu hata hizi obvious hauna.
View attachment 3515651
Nilikuwa naliogopa lile limduara aisee, maana likikata kona linazunguka.Katikaki chini lina mduara mkubwa unazunguka likikata kona.
Huyu dogo Venus Star hata hiyo experience ya hizi Hungarian buses, Ikarus, hana.
😂Nilikuwa naliogopa lile limduara aisee, maana likikata kona linazunguka.
Kikwete na genge lake ndio wameharibu sana nchi na kutucheleweshea sana maendeleo.Mtandao hawawezi kuendelea kuongoza, kutoka kikwete mpaka kwa Rizwan, hapo kati, kuna pengo. kuna wakina Nchimbi, Mugwilu, Makamba na wengine wengi. Hapata kalika.
Kikwete na genge lake ndio wameharibu sana nchi na kutucheleweshea sana maendeleo.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1779278657116062162
Upendo na uwajibikaji kwa wenzetu ndio tatizo kubwa sana.We acha tuu, halafu unakuta watu wanatetea ujinga. Nimeona mahali wanaleta ajenda ya sekta binafsi kwenye umeme, yale yale ya Richmond.
Yaani hawajali hata maslahi ya Watanzania. Ndiyo maana CCM mtandao, nawaita vibaraka, maana huwezi unguza nyumba unayoishi mwenyewe, kama siyo kibaraka.
Kama kweli Venus Star ni mzalendo wa kweli, at least angeuchuna kama Geza Ulole anavyofanya, kuliko kutetea huu ujinga.
Mtandao ni mafia kishenzi, na kuna ajenda ya siri imeanza kuonekana kama unavyosema, hasa ukiangalia viongozi wanaouawa.Upendo na uwajibikaji kwa wenzetu ndio tatizo kubwa sana.
Wizi, ufisadi, madawa ya kulevya.
Kwanzia leo anza kukusanya majina ya wanao kamatwa ndani na nje, utapata jibu.
Unayoandika ni maneno tu. Kwenye social media hata mtoto wa miaka 8 anaweza sema yupo na miaka 60. Ukweli comments zako zinaonesha how stupid your are, na namna umri wako ulivyo chini.Hakuna mtu amepanda usafiri huu ni 25 years. Kwenye Depot pale Ubungo kulikuwa na restaurant ya chakula inaitwa Abiyan miaka ya 1982/3/3/5 to 1990s. Baaday ya usafiri wa Uda kuleta tafran mabasi ya watu binafsi yalianza kazi hasa Ashok Leyland, nakumbuka mpaka baadhi ya majina ya mabasi hayo kama "Jadide" hiyo ni 1980s.
View attachment 3515659
Nimekuambia wewe ni mpumbavu na wewe ni Gen Z. Unaivishwa na propaganda ndogo tu za kwenye social mendia na unabadilika na kuanza kulitukana Taifa lako. Akili zako bado zinakua hazijakomaa. Kama akina Maria Sarungi na Mange Kimambi wameweza kukupiga propaganda za video za AI ukajaa kwenye mfumo sasa tukuiteje?Katikaki chini lina mduara mkubwa unazunguka likikata kona.
Huyu dogo Venus Star hata hiyo experience ya hizi Hungarian buses, Ikarus, hana.
Brother acha kupiga propaganda za kitoto. Hizo tulishacheza nazo wakati tunaanza kufundishwa Bandwagon Propaganda, Glittering Generalities Propaganda, Name Calling Propaganda, Hizi propaganda zikishindwa wanakuja na Fear AppealsWe acha tuu, halafu unakuta watu wanatetea ujinga. Nimeona mahali wanaleta ajenda ya sekta binafsi kwenye umeme, yale yale ya Richmond.
Yaani hawajali hata maslahi ya Watanzania. Ndiyo maana CCM mtandao, nawaita vibaraka, maana huwezi unguza nyumba unayoishi mwenyewe, kama siyo kibaraka.
Kama kweli Venus Star ni mzalendo wa kweli, at least angeuchuna kama Geza Ulole anavyofanya, kuliko kutetea huu ujinga.
Open Spaces or Parks hakuna kabisa Dar es Salaam - wazee wahuni washauziana balaa;Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Kuhusu propaganda, mimi siko interested na hayo, nipo hapa kutoa maoni yangu binafsi tuu.Brother acha kupiga propaganda za kitoto. Hizo tulishacheza nazo wakati tunaanza kufundishwa Bandwagon Propaganda, Glittering Generalities Propaganda, Name Calling Propaganda, Hizi propaganda zikishindwa wanakuja na Fear Appeals
Na kwa bahati nzuri mimi ni Informationa Analysist mzuri sana na ninaheshimika na mataifa makubwa mno.
Baada ya adui wa Tanzania kufanikiwa kumuua Magufuli kupitia vibaraka wao wa Katoliki wakajua Samia yupo upande wao. Katoliki wakaanza kumsifia but they didn't know kuwa Samia ndiye aliyekuwa Mentor wa Magufuli.
Walitegemea kuwa atakuwa upande wao, But walishangaa anaendelea na mipango ya Magufuli in low voice wakatengeneza syndicate. Mpango ulikuwa kama ifuatavyo.
1. Kuhakikisha TLS inakuwa mikononi mwao (Kweli pesa nyingi sana zilimwagwa na propaganda kali zilipitishwa kwa mawakili mpaka Mwambukusi akaingizwa)
2. Hatua iliyo mfuata ni Kukitoa CHADEMA KKKT kiweze kuwa cha Katoliki 100%. Mikakati ilipangwa na kufanikiwa kuwang'oa KKKT na Waislam ndani ya CHADEMA (Hapo sasa walifanikiwa kuwa na silaha mbili)
Next step ilikuwa ni kumg'oa Rais kwa namna yoyote ile.
Sisi wataalam wa Informationa tuliiona hiyo movement tunamtonya Rais. Tukaanza kubomoa kidogo kidogo.
1. Tukaanza kumuunganisha Rais wa TLS na masuala ya Kiserikali, kuhusu kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Tanzania. Alianza kujaa kwenye mfumo, Baadae maadui wakamtonya kuwa unajaa kwenye 18. Akawa njia panda tayari ameshaingia kwenye mfumo.
2. Tundu Lissu akapewa Airtime, tunajua huyo ni mropokaji. Akajaa kwenye mfumo siku chache tu za ku saini maadili ya Uchaguzi. Na ilijulikana kabisa CHADEMA watagoma ku saini maadili ya uchaguzi kwasababu mwenyekiti wao katiwa ndani. Kweli wakajaa kwenye mfumo.
Kwasababu ilikuwa ni syndicate kuna watu walikuwa ndani ya TISS ambao wanasaidia maadui. Ikatengenezwa Counter syndicate. Hii siisemi, lakini imefanya kazi na wote waliokuwa wanafanya mambo hayo taarifa zao zote wamesomewa na wamepewa ushahidi. Sasa hivi wanasubiri kutiwa kwenye kifungo cha kijeshi.
Nina uhakika hapa umekula somo na uache kuropoka kwa kutumia hisia.