Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbeya today
A very cool and green city
PXL_20251214_170314787.jpg

PXL_20251214_170536851.jpg
PXL_20251214_170641730.jpg

PXL_20251214_170800297.jpg

PXL_20251214_171127548.jpg

PXL_20251214_171215759.jpg

PXL_20251214_171323507.jpg

PXL_20251214_171305309.jpg

PXL_20251214_171419309.jpg
PXL_20251214_171438936.jpg
PXL_20251214_171708945.jpg
PXL_20251214_171802573.jpg
PXL_20251214_171557157.jpg
PXL_20251214_171745838.jpg
 
Hakuna cha kujenga nchi hapo, huwezi kuwa na maono kutoka kwenye kichwa kulicho zungusha form 4. Yote aliyojenga Magu, wanayabomoa taratibu, hata sijui kwa maslahi ya nani?

Samia alipoingia alijidai kuifungua nchi (
sisi tulijua ni usanii) sasa hivi anazidi kuifunga. Hata JF ambayo miaka yote ilikuwa huru bado imefungiwa. Inabidi uwe na wazimu kuitetea serikali hii haramu. Machawa wanatumia VPN (wanavunja sheria) kuja kuitetea serikali. Akili gani hiyo?
Hata huyo unaongea nae ni wa vyeti vya kuunga-unga.
 
Tutamlinda sisi. Na mkileta vya kuleta tutawagonga shaba. Amiri Jeshi hachezewi na wapumbavu kama nyie.
Huyo ni Amiri Jeshi, Head of State na Kiongozi wa Serikali. Sasa leta utoko wako tukumwage ubongo.

There is nothing you can do. Samia ni member wa gang la Kikwete linalozimika kwa kasi. Yeye na senior members wa group hilo hatuta kuwa nao muda si mrefu.

Ulijinadi kuwa unazo za ndani, cha ajabu hata hizi obvious hauna.



 
Back
Top Bottom