Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Mtandao ni kundi ililoanzishwa na kikwete, akiwa na Rostam, Membe, Lowasa n.k katika harakati za urais wa '05 ili kuiweka Tanzania mikononi mwao.Hebu tueleze CCM mtandao ni akina nani na wamefanya nini? Weka ushahidi wa kitu walichokifanya.
Kikwete alistaafu, miaka 10 iliyopita, nini kinamfanya aendelee kujihusisha na serikali hii? Samia mwenyewe alishasema, "huyu ni bosi wangu". Kama ulikuwa hujui pale alikiri, Kikwete ni bosi wake wa mtandao, wewe Venus Star ni nani wa kuipinga kauli ya bosi wako? Au na wewe umekuwa mhaini?
Tangu lini amiri jeshi mkuu akawa na bosi?
Sasa kama unapingana na kauli ya kiongozi wako mkuu, basi wewe ni dhahri ndiye unaefanya propaganda.