Hao globalist wanayapata hao madini na rasilimali zote bila shida yoyote hata bila vita hao no wahuni tu wanaotaka kutakatisha madaraka tena wakati wa vita watapata shida ya usafirishajiHiyo ni kweli ila nachoongelea mimi, ni strategy siyo tactic.
Chini chini tactic inaonekana wanachochea udini ila unaweza kuta na wao wanafuata script waliyopewa na ma globalist ili tumalizane, wapate Urani, lithium, gesi, madini adimu, makaa ya mawe n.k.
Fikiria hili, kulikuwa na sababu gani ya Samia kuwa karibu na Blair? Atashauri nini kwa faida ya Watanzania?
Kulikuwa na sababu gani ya kuanza kutumia barakoa, na kuleta chanjo baada ya Magu kufariki, wakati watu waliishi vizuri zaidi ya mwaka bila barakoa?
Kilikuwa na sababu gani ya kuwaminya wananchi na tozo, huku watawala, wakiendelea kununua magari ya V8? Huoni ni counter intuitive?
Ukiangalia kwa makini, hizi ni time tested script za ma globalist, kutufanya tuendelee kuwa maskini wategenezi na nchi kutokutawalika. Na ukiona mtawala anatekeleza haya, ujue ni kibaraka.
CCM mtandao ni vibaraka ma globalist. Hata wanapojidai kumshtaki Samia ICC, ni wanafiki.
Pamoja na yote yaliyofanyika, kama utekaji, mauaji, na katiba kuvunjwa, utaona hawatumii msuli mkubwa kama walioutumia kumminya Magu. Hii kwangu ni signal tosha kuwa tuna economic hitman Tanzania.
Duh hii sio AI?Akili ndogo.
View attachment 3514814
I was surprised to see that Conman kufuraishwa na vitu cya kawaida like that. Hiyo pekee is enough to tell you that they might have married their fellow men as wives.Mbona hawa watoto wa kawaida tu? You people where do you live?
Hamna uwanja unajengwa Dodoma! Uwanja umeanza kujengwa miezi kadhaa baada ya wa Arusha ati upo 2%!Dodoma Stadium ujenzi unaendelea ujenzi upo 2%
1. Arusha Stadium u/c - capacity 32,000
2. Dodoma Stadium u/c - capacity 32,000
3. Zanzibar Stadium u/c - capacity 36,500 plus Two 15k seat training ground.
4. Mkapa Stadium - capacity 62,000
5. New Amaan Stadium - capacity 15,000
6. Uhuru Stadium - 23,000 (wanaweka viti capacity inaweza kuongezeka)
7. Gombani stadium - capacity 15,000
View attachment 3514737
Au sio.Hamna uwanja unajengwa Dodoma!
Rasilimali kuibiwa kuna mawili, aidha kuwe na kibaraka (CCM mtandao) au nchi isitawalike (Congo).Hao globalist wanayapata hao madini na rasilimali zote bila shida yoyote hata bila vita hao no wahuni tu wanaotaka kutakatisha madaraka tena wakati wa vita watapata shida ya usafirishaji
Haya ni mawazo ya kijana anayeishi kwa dada yake.Rasilimali kuibiwa kuna mawili, aidha kuwe na kibaraka (CCM mtandao) au nchi isitawalike (Congo).
wale wanakuibia kwa mikataba mambo ya vita ni upuuzi wetu tuRasilimali kuibiwa kuna mawili, aidha kuwe na kibaraka (CCM mtandao) au nchi isitawalike (Congo).
Kivipi?Haya ni mawazo ya kijana anayeishi kwa dada yake.
Mikataba mibovu inasainiwa na vibaraka.wale wanakuibia kwa mikataba mambo ya vita ni upuuzi wetu tu
Hawa mbwa waizuia Sereneti Arport Kkwete akakubali kelele zao na Magufui akajnga uwanja Chato!International Airports za Kenya kila mtu anazijua zilivyo Kwikwikwikwikwikwi