Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna tofauti ya terrorism na udini. Alshabaab ni millitia ya nchi jirani iliyoattack Kenya kwa sababu ya grievances za kisiasa na nimekueleza hivo. Vita vya Somalia sio vya udini bali ni siasa na wanauana waislamu kwa waislamu. Kando na hilo, Somalia kuna udini sana japo huo udini haujaleta shida ya mauaji popote maanake Somalia 98% ya population ni Waislamu. Mimi nimeishi Somalia na nilipokuwa huko, niliona shida ya kidini ipo. Bahati yao wengi wao ni Waislamu ila ukienda huko uwe Mkristo unapata wameanza kukuonyesha kaubaguzi fulani hivi hadi saa zingine inabidi ujifanye Mwislamu ndio maisha kidogo iwe smooth. Somalia ingekuwa na Wakristo zaidi ya asilimi 10 kungekuwa na shida sana.
Hakuna udini Tanzania, but tunawaonya tu, wale wanaoleta chokochoko za udini. Mimi ni Mkristo, Mke wangu ni muislam. Watoto wangu wanaenda Kanisani na Msikitini. Wao ni Wakrislam
 
Ile mbio westlands inakimbishwa kwa ujenzi wah
1000089220.jpg
 
Hiyo ni kweli ila nachoongelea mimi, ni strategy siyo tactic.

Chini chini tactic inaonekana wanachochea udini ila unaweza kuta na wao wanafuata script waliyopewa na ma globalist ili tumalizane, wapate Urani, lithium, gesi, madini adimu, makaa ya mawe n.k.

Fikiria hili, kulikuwa na sababu gani ya Samia kuwa karibu na Blair? Atashauri nini kwa faida ya Watanzania?

Kulikuwa na sababu gani ya kuanza kutumia barakoa, na kuleta chanjo baada ya Magu kufariki, wakati watu waliishi vizuri zaidi ya mwaka bila barakoa?

Kilikuwa na sababu gani ya kuwaminya wananchi na tozo, huku watawala, wakiendelea kununua magari ya V8? Huoni ni counter intuitive?

Ukiangalia kwa makini, hizi ni time tested script za ma globalist, kutufanya tuendelee kuwa maskini wategenezi na nchi kutokutawalika. Na ukiona mtawala anatekeleza haya, ujue ni kibaraka.

CCM mtandao ni vibaraka ma globalist. Hata wanapojidai kumshtaki Samia ICC, ni wanafiki.

Pamoja na yote yaliyofanyika, kama utekaji, mauaji, na katiba kuvunjwa, utaona hawatumii msuli mkubwa kama walioutumia kumminya Magu. Hii kwangu ni signal tosha kuwa tuna economic hitman Tanzania.
Hao globalist wanayapata hao madini na rasilimali zote bila shida yoyote hata bila vita hao no wahuni tu wanaotaka kutakatisha madaraka tena wakati wa vita watapata shida ya usafirishaji
 
Dodoma Stadium ujenzi unaendelea ujenzi upo 2%
1. Arusha Stadium u/c - capacity 32,000
2. Dodoma Stadium u/c - capacity 32,000
3. Zanzibar Stadium u/c - capacity 36,500 plus Two 15k seat training ground.
4. Mkapa Stadium - capacity 62,000
5. New Amaan Stadium - capacity 15,000
6. Uhuru Stadium - 23,000 (wanaweka viti capacity inaweza kuongezeka)
7. Gombani stadium - capacity 15,000


View attachment 3514737
Hamna uwanja unajengwa Dodoma! Uwanja umeanza kujengwa miezi kadhaa baada ya wa Arusha ati upo 2%!
 
Back
Top Bottom