Mara ya kwanza kwenda Mbeya pale 'down town' (almost 30yrs ago), nilishangaa kuona mji ulivyo msafi. Kipindi hicho Dar ilikuwa kama ilivyo ile stendi ya basi ya Nairobi.
Hii list naikataa, Zimbabwe wanapesa zipi ya kutunza barabara zao, labda ile Zimbabwe ya 1980. Sijawahi kufika ila nimeona video nyingi za youtubers, hawatuzidi EA kwa barabara nzuri.
Top ten hakuna nchi ya EA
Brother Zimbabwe wapo na barabara nzuri mno. Tembea uone achana na propaganda za kwenye mediaHii list naikataa, Zimbabwe wanapesa zipi ya kutunza barabara zao, labda ile Zimbabwe ya 1980. Sijawahi kufika ila nimeona video nyingi za youtubers, hawatuzidi EA kwa barabara nzuri.
Na kweli, maeneo mengi Mbeya ni masafi, mji ni mkubwaMara ya kwanza kwenda Mbeya pale 'down town' (almost 3oyrs ago), nilishangaa kuona mji ulivyo msafi. Kipindi hicho Dar ilikuwa kama ilivyo ile stendi ya basi ya Nairobi.
Hiyo sehemu yenye mashamba ni new street, 5 years to come sehemu yote itakuwa covered na nyumba bora na za kisasaMashamba ndio unaita streets?
Vitu vya kawaida sana, hivyo mdogo wangu. Tanzania ilishaachana na mambo ya nyumba. Tunaongelea big projects. Sisi tupo huku:Construction Progress of Maritime Rescue Center in Kisumu.
View attachment 3512951
View attachment 3512947
View attachment 3512949
If only you knew the story behind that terminal then you would understand the significance.We should demand more and you are showing us new terminal? Really!
We have new terminal 3, Msalato airport nearly finished, Znz new terminal, Arusha new terminal. Please tuambie kitu kingine. Reason watu wanawaonesha BRT kila siku kwasababu mnaiponda sana. Phase 1 hiccups ziliwapa cha kuongea sasa Phase 2 imeanza vizuri lazima tuwakoge.
Perhaps you missed thisAnatuambia tudemand vitu zaidi halafu anatuonesha airport terminal! Mimi nilifikiri labda anatuonesha Nuclear power plant.
Africa bado tupo nyuma vitu basic hatujamaliza sasa wenzetu wakiongea utafikiri wao walishamaliza.
Assuming that’s true, what’s Tanzania or Kenya doing to change this narrative? I think we lack structure, you can build good highways but without proper structure they will still be overwhelmed in a few years.
Top ten hakuna nchi ya EA
Assuming that’s true, what’s Tanzania or Kenya doing to change this narrative? I think we lack structure, you can build good highways but without proper structure they will still be overwhelmed in a few years.
I love the way South Africa seriously dedicated their time to structure the road networks so well it rivals the American road network which they used as a blueprint
View: https://youtu.be/qS5Gnivs0MY?si=rBa6Rs8nugBFhYAu
Argue with substance if you want to be respected. Give a lost of those white elephant projects and elaborate why they are “white elephant “White Elephant as usual
Everyone in the world knows that all Kenyan projects are dead, there are too many examples.Argue with substance if you want to be respected. Give a lost of those white elephant projects and elaborate why they are “white elephant “