Ooh sasa nimeelewa
Ukitoa dissing sio kweli kwamba Mbeya ni kama Bondo au Siaya.
Mbeya ni developed city na ni mji mkubwa umetanuka, Mbeya ina miundombinu mingi sana ila ipo scattered, kama miundombinu yake yote ingekuwa concentrated city centre basi ungeona skyline ya tofauti sana
Lakini fact ni kwamba, Mbeya ni jiji kubwa takribani 250km square, hii ni kaka 1/3 of Nairobi na population ni around 600,000 people
High school nimesoma Mbeya na sasahivi University nasoma huku so najua vizuri ninachokisema, Kutoka Iwambi hadi Uyole ni 22km na bado hii ni ndani ya city.
Kuanzia 2023 hadi 2025 May huu mji haukuwa na ujenzi mkubwa sana, but this December nimerudi nimeona kila sehemu wanafanya construction, kuanzia malls, hotels, schools, hospitals, roads etc ni kama mji umeamka ghafla. Within next 5 to 10 years Mbeya will be something else.
Na hata sasa naweza kukutajia vitu vilivyopo Mbeya, huko Bondo au Siaya hakuna.