much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,579
Nipo capetown napambana sisubili kuliwa tako kama wewe ili upate utendaji kataUMependeza sana mkuu, upo maeneo ganiii tukushoneee..tukukamieee
View attachment 3513411
Nipo capetown napambana sisubili kuliwa tako kama wewe ili upate utendaji kataUMependeza sana mkuu, upo maeneo ganiii tukushoneee..tukukamieee
View attachment 3513411
That's just a small part of Mbeya, tena hapo ni Mbalizi. Sio hata part ya Mbeya CityThis is Mbeya, if this is what you call a city then you have a long way to go.
![]()
Ooh sasa nimeelewa
Ukitoa dissing sio kweli kwamba Mbeya ni kama Bondo au Siaya.
Mbeya ni developed city na ni mji mkubwa umetanuka, Mbeya ina miundombinu mingi sana ila ipo scattered, kama miundombinu yake yote ingekuwa concentrated city centre basi ungeona skyline ya tofauti sana
Lakini fact ni kwamba, Mbeya ni jiji kubwa takribani 250km square, hii ni kaka 1/3 of Nairobi na population ni around 600,000 people
High school nimesoma Mbeya na sasahivi University nasoma huku so najua vizuri ninachokisema, Kutoka Iwambi hadi Uyole ni 22km na bado hii ni ndani ya city.
Kuanzia 2023 hadi 2025 May huu mji haukuwa na ujenzi mkubwa sana, but this December nimerudi nimeona kila sehemu wanafanya construction, kuanzia malls, hotels, schools, hospitals, roads etc ni kama mji umeamka ghafla. Within next 5 to 10 years Mbeya will be something else.
Na hata sasa naweza kukutajia vitu vilivyopo Mbeya, huko Bondo au Siaya hakuna.
Ndio kwa sababu Mbeya ina two city centres "Mjini" na "Mwanjelwa"
Another 32 floors tower broke ground today in Westlands.
32-floor SIB International Centre
View: https://x.com/investwithSIB/status/1998041071817822574?s=20
View attachment 3513273
Anayechafuliwa hapa ni nani?Rudi darasani kaka ukajifunze siasa. Siasa za kuchafua watu ni za watu amateur. Umaarufu unatakiwa uujenge kwa kutumia msingi wako mwenyewe, siyo unajenga umaarufu kwa msingi wa kuwasimanga watu wengine.
Sina muda wa kusoma Insha zako. Hizo ni narratives zilizopo kichwani mwako hazina ukweli wowote.Anayechafuliwa hapa ni nani?
Kikwete mara kadhaa hadharani amekiri kuown mtandao na yeye kama mwanzilishi wa mtandao ndani ya CCM.
Juzi kwenye mahojiano na Rostam Aziz, Rostam amekiri uwepo wa mtandao ndani ya CCM yeye, Lowassa na Kikwete kama waanzilishi na viongozi.
Sasa nikuulize wewe uliye-enda darasani:
What significance does the establishment of these subgroups (mitandao) serve in any kind of organization - unity or division?
Ukiachia kukiri hadharani kuunda mtandao, pia kakiri kuwaresponsible na kumchomeka Samia kwenye VP na ndio aliyekuwa front hii juzi kwenye mkutano mkuu wa CCM kumvusha Samia bila kupata ridhaa ya chama kugombea urais kwa ticket ya CCM.
Yote hapo juu ni ya kweli na yenye ushahidi, ikiwamo ushuhuda wa mtajwa kukiri hadharani tuhuma hizi.
Sasa uchafu uko wapi?
Mtu anachafuliwa kwa kuenezewa shutma za uongo na zisizo na ukweli wowote. Hakuna mtu anayemchafua zaidi ya yeye kujivunjia heshima na sisi ni wajibu wetu kusema ukweli.
Sasa miaka yako mingi kwenda darasani umeshindwa kkutambua fasta jambo lililo uchi kabisa??
Unatengeneza vipi umaarufu kupitia imaginary name?
Who is Comrade Kipepe?
Jibu tu maswali mafupi na rahisi.Sina muda wa kusoma Insha zako. Hizo ni narratives zilizopo kichwani mwako hazina ukweli wowote.
At least give credit to the original postUnpopular Opinion: Tanzania is quietly outplaying Kenya.
Let’s talk about it.
Kenya has the spotlight.
Tanzania has the strategy.
Kenya moves slow
Tanzania moves smart.
Kenya is a spark.
Tanzania is a slow-burning wildfire.
While Nairobi tweets policy storms,
Dodoma builds railways in silence.
Ports expand. Mines dig deeper.
Inflation stays calm. Growth stays steady.
No drama. Just progress.
Tanzania is not loud — it’s efficient.
Not flashy — just focused.
Not trending — but winning long-term.
Kenya shines today.
Tanzania is preparing to shine forever.
Bookmark this.
Screenshoot it.
Argue with your chest.
But one day very soon,
East Africa will wake up and realize:
Tanzania didn’t overtake Kenya loudly —
it just walked past with grace. 🇹🇿
View attachment 3513359
Another Kenyan made TV brand after Vitron.
This is one here the plant is in Tatu City.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1998339467074212096?s=20
Unpopular Opinion: Tanzania is quietly outplaying Kenya.
Let’s talk about it.
Kenya has the spotlight.
Tanzania has the strategy.
Kenya moves slow
Tanzania moves smart.
Kenya is a spark.
Tanzania is a slow-burning wildfire.
While Nairobi tweets policy storms,
Dodoma builds railways in silence.
Ports expand. Mines dig deeper.
Inflation stays calm. Growth stays steady.
No drama. Just progress.
Tanzania is not loud — it’s efficient.
Not flashy — just focused.
Not trending — but winning long-term.
Kenya shines today.
Tanzania is preparing to shine forever.
Bookmark this.
Screenshoot it.
Argue with your chest.
But one day very soon,
East Africa will wake up and realize:
Tanzania didn’t overtake Kenya loudly —
it just walked past with grace. 🇹🇿
View attachment 3513359
Schools are everywhere even Turkana has a University.That's just a small part of Mbeya, tena hapo ni Mbalizi. Sio hata part ya Mbeya City
Wewe unasema Bondo au Siaya ni kama Mbeya, hujui ulisemalo.
Mbeya ni mji mkubwa
Some high learning institutions in Mbeya
1. MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY - One of the best Engineering schools in Tanzania
View attachment 3513429
View attachment 3513430View attachment 3513431View attachment 3513432
View attachment 3513433
.
2. CATHOLIC UNIVERSITY OF MBEYA
View attachment 3513418
View attachment 3513419View attachment 3513420
View attachment 3513421
View attachment 3513422View attachment 3513423
.
3. MZUMBE UNIVERSITY- MBEYA CAMPUS
View attachment 3513424
View attachment 3513425View attachment 3513426
View attachment 3513427
View attachment 3513428
.
4. TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY- MBEYA CAMPUS
One of the best institutes for business studies in Tanzania
View attachment 3513443
View attachment 3513446
View attachment 3513448
View attachment 3513465
.
5. UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM- MBEYA CAMPUS
One of the best health colleges in Tanzania
View attachment 3513449
View attachment 3513450
View attachment 3513451
View attachment 3513452
.
6. TEOFILO KISANJI UNIVERSITY
View attachment 3513453
View attachment 3513454
.
Na hapo bado kuna College of Business and Education, Chuo cha Kilimo Uyole, K's Collegw of Health and Allied Sciences nk
Hivi vyuo vyote vipo ndani ya jiji la Mbeya na kila chuo kipo mbali na kingine, na hivi ni baadhi tu, some of them are among the top universities in Tanzania.
Hapo bado sijagusa shule, hospitals, viwanda, hotels nk
Nikuulize tu Siaya au Bondo ina Universities nyingi hivi?
Lastly, I think you noticed something in all photos, kwamba Mbeya ni green almost everywhere. Ndio maana inaitwa Green City
Have already replied you that even Turkana has a University. By the way search for JOOUST in Bondo ujue University sio Kitu ya kuringia wakenya.Mbona haujibu comment yangu? Au umeshaelewa tayari kuwa Mbeya sio level za Bondo au Siaya, au Migori. Hivyo vi town vyenu vidogo unavyotaka kufananisha na Mbeya City 😁😁
Yeah but big towns and cities tend to have a large number of universities.Schools are everywhere even Turkana has a University.
Nimekutajia more than 8 universities all in Mbeya. Nataka ukubali kuwa Mbeya sio kama Bondo au Siaya when it comes to universitiesHave already replied you that even Turkana has a University. By the way search for JOOUST in Bondo ujue University sio Kitu ya kuringia wakenya.
Mbeya is not a City and University can't make a place to be called a city.Nimekutajia more than 8 universities all in Mbeya. Nataka ukubali kuwa Mbeya sio kama Bondo au Siaya when it comes to universities
Ukishakubali nihamie kwenye hospitals