much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Shida sio udogo wa nauli shida ni wizi wa mapatoHawa jamaa wanaendesha haya mabasi kama inavyotakiwa. Natumaini si nguvu ya soda. Nauli nasikia ni 1000/- wakati Kimara ni 750/- na Mbagala ni karibu kuliko Kimara kutokea Posta/Gerezani. Ila naunga mkono 750 ni ndogo na ni moja ya sababu phase 1 kuwa ya hovyo.