Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuandikia kitabu, bare with me.

Oct 29, 30 na siku zote internet imefungwa TZ, mimi na wewe tulikuwepo hapa. Mbongo pekee aliyekuwepo ni REAL Comrade Kipepe, at least aliyekuwa akichangia actively.

Wote tulilaani mpaka nikakuambia hii yetu ni mbaya, Kenya hamjawahi fiikia unyama huu. Kumbuka, hii ilikuwa kabla video na picha hazijaanza kutumwa mitandaoni.

Personally niliwashukuru wakenya kwa kuwa sympathetic hapa JF.

Hata baada ya internet kurudi na wenzetu walioshuhudia massacre kuja hapa, hawakuilaumu kenya.

Ni baada ya picha kuanza kutumwa mitandaoni, ndipo propaganda ya kulaumu wakenya ilipoanza ili kuficha unyama waliofanya.

Hao unaodhani ni wengi wanaoilaumu Kenya ni propaganda machine na nilisema hapa, hata kama kuna wakenya walihusika, impact yao ilikuwa ni ndogo sana blame yote in kwa serikali haramu.

Je, kuna baadhi ya wakenya wanafaidika na hii chaos, mfano watu wa sekta ya utalii na ndege? Of cause. Ila wakenya wa kawaida, walio wengi hawakuwa na sababu ya kufurahia.
Nimependa ulichoandika na unajua sisi Wakenya tulicommend jinsi wengine wenu walilaani serikali Hadi wewe mwenyewe ukaniambia kilichotendeka hakijawai tendeka Hadi Kenya licha ya vurugu zetu za Kila mara. Ila umeona mwenyewe nani kakujibu wa kwanza na kasema Nini. Swali langu kwako ni; je, huyo REAL Comrade Kipepe pia kalipwa na serikali?
 
Napenda the way have explained it lakini you have to know religion doesn’t matter kuna watu wicked in both faiths, kuna wahuni wana tumia kivuli cha dini! And if someone is suspected kuwa they want to divide and rule they should be called out!
Nitakujibi nilivyomjibu mwenzako Reuben Challe ila akashindwa kuelewa na nikamsamehe maana ni kijana mdogo sana.
Kwa hizi identity-based divisions (racism, tribalism, religiosity, nationalism etc), wanaofaidi ni wachache sana na hao wachache ndio hufuel hizo divisions. Kwa watu wa kawaida, hamnanga uhasama kivile kando na banter za kawaida. Hata humu JF tunatupiana maneno makali Ila mimi nikija Tanzania, namingle na Watanzania wa kawaida tu vizuri nawewe ukija Kenya, unamingle na Wakenya wa kawaida tu bila shida. Kwa hivo hii ishu ya kusema bongo hamna udini kisa ni wahuni wachache wanaoleta hizo divisions haina msingi maanake hivi ndivyo hizi divisions huwork.
 
Nani kakwambia Natron hakuna mining ya soda Ash? Picha uliyotuma ni ya Natron... Hiyo lake magadi ni extension ya Lake Natron.
Na janja yenu kuzuia Tanzania wasichimbe soda ash kwa kutumia mamluki wenu huko Ngorongoro ndio mmesha fail....kule kunasafishwa kila mtu arudi kwao tu.
Eeh sikujua Kenya ina nguvu au time ya kuzuia Tanzania ifanye kitu chochote
Kenya must be a very powerful country, Hadi inazuia miradi na kusababisha maandamano kwa nchi jirani
 
As predicted the prophecy has come to pass, Anus star 'chawa wa mama' alipinga, with his cheap lazily thought of propaganda. Na bado!. Evidence is still mounting their teeth keeps on growing and finally they will have the legitimate ground to bite!, hard!...
Screenshot_20251127_233824_Facebook.jpg
Screenshot_20251127_233522_Facebook.jpg
Screenshot_20251128_094758_Facebook.jpg
Screenshot_20251128_094656_Chrome.jpg
Screenshot_20251128_082523_Chrome.jpg
screenshot_20251128_082208_chrome-jpg.3508637
Screenshot_20251128_082228_Chrome.jpg
images (5).jpeg

😂😂
 
Tumia akili kidogo, yaani mtu amekuwa akimtukana Samia na serikali yake, kila siku, unategemea wamlipe? Tena angekuwa bongo huyu wangeshampa kesi ya uhaini.
Umekosea kidogo. Hapo ni wewe unafaa utumie akili kidogo. Nimemtaja REAL Comrade Kipepe kimaksudi maanake yeye ni miongoni mwa wanaolaumu Wakenya yet pia yeye ni miongoni mwa wanaompinga Samia kwa hivo hiyo logic yako ya kusema wanaolaumu Wakenya ni wale waliolipwa haina mantiki. Think!
 
Umekosea kidogo. Hapo ni wewe unafaa utumie akili kidogo. Nimemtaja REAL Comrade Kipepe kimaksudi maanake yeye ni miongoni mwa wanaolaumu Wakenya yet pia yeye ni miongoni mwa wanaompinga Samia kwa hivo hiyo logic yako ya kusema wanaolaumu Wakenya ni wale waliolipwa haina mantiki. Think!
Ukimsoma vizuri utaona huwa anawalaumu wakenya kuwa anti pan africans, historically speaking. Hivyo huwa haongelei haya mambo ya sasa, specifically, bali jinsi mlivyo kiujumla.
 
Nimependa ulichoandika na unajua sisi Wakenya tulicommend jinsi wengine wenu walilaani serikali Hadi wewe mwenyewe ukaniambia kilichotendeka hakijawai tendeka Hadi Kenya licha ya vurugu zetu za Kila mara. Ila umeona mwenyewe nani kakujibu wa kwanza na kasema Nini. Swali langu kwako ni; je, huyo REAL Comrade Kipepe pia kalipwa na serikali?
Yawezekana hiyo kipepe ni mzee wa zamani bado anamindset kipindi cha vita baridi na kuwalaumu mabeberu
 
Ukimsoma vizuri utaona huwa anawalaumu wakenya kuwa anti pan africans, historically speaking. Hivyo huwa haongelei haya mambo ya sasa, specifically, bali jinsi mlivyo kiujumla.
Hamna kitu halaumu Kenya huyo. Kwa hili jambo bado amelaumu na anaendelea kulaumu wa Kenya na sii yeye pekee. Watanzania wengi tu wanalaumu Kenya. Tazama last post aliyokuquote.
 
Eastlands is now getting proper residential buildings.

I took the picture of this one at Makadara. Kitambo finishings kama hizo ungepata Tu Westlands, Milimani, Kileleshwa, Upperhill ama Lovington.

1000122476.jpg
 
As predicted the prophecy has come to pass, Anus star 'chawa wa mama' alipinga, with his cheap lazily thought of propaganda. Na bado!. Evidence is still mounting their teeth keeps on growing and finally they will have legitimate ground to bite!, hard!... View attachment 3508648View attachment 3508649View attachment 3508696View attachment 3508697View attachment 3508634
screenshot_20251128_082208_chrome-jpg.3508637
View attachment 3508645 View attachment 3508665
😂😂
What if the US and EU enact economic sanctions against TZ.. imagine the trade, tourism, travel bans etc.. Russia and China alone can’t sustain their economic growth especially in tourism. They will slump down to 4th world .
 
Back
Top Bottom