Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulivyo mpuuzi huyo Gwajima ni CCM amekinzana na CCM wenzake.
Na kama haujui kamanda mkuu wa jeshi la polisi ni mkristo.
Mbona makanisa mengine hayajafungwa!?
Embu wacheni kuingiza akili zenu kwenye political affiliated issues.
Mzee utekaji haukubaliki kweli iwe ametekwa ccm chadema au asiye na chama kama tusipokemea utekajia maisha na uhai wa mtanganyika utaonekana hauna thamani kama maisha ya wakunya
 
Nafikiri NairobiWalker anakunwa na kujisikia raha akisikia mtanzania ana blame wakenya, kuwa ndiyo waliosababisha vurugu Tanzania ili apate ammunitions za kutubeza na kutucheka.

Tulishamwambia toka mwanzo, hizo blame ni spinning tuu, kama cover up ya CCM.
Hivi huwaoni wenzako wakilaumu Kenya humu? Hata mtandaoni huoni?
 
Westlands

Urban area Bird's-eye view Residential area Aerial photography Neighbourhood

Building Urban area Daytime City Metropolitan area

Urban area Daytime Building Metropolitan area City
 
Hivi kunyaland haiwezi kusimama peke yake bila kuitaja Tanzania na kijinasibisha kwenye mambo ya Tanzania!? Media za kunyaland ni content na habari za Tanzania tu.. asubuhi Hadi asubuhi... January mpaka January...
Bado bloggers na hungered activists wote wa kunyaland ni kubeba mambo ya Tanzania tu... Post kila muda hata muda wa kujisafisha matongotongo hawana...

Na hapa huyu githenjii analeta picha ya lake Natron from Ngorongoro Arusha na kusema ni lake ambayo ipo kunyaland! Kunyaland without Tanzania is finished.
Mr. Liker, ni wewe unaiwaza Kenya. Hiyo hapo ni Lake Magadi, sio Natron. Ukiangalia kwa hiyo video unaona mining from the lake. Lake Natron Haina mining yoyote, lake Magadi ndio Kuna mining of soda ash.
 
Nani kakwambia Natron hakuna mining ya soda Ash? Picha uliyotuma ni ya Natron... Hiyo lake magadi ni extension ya Lake Natron.
Na janja yenu kuzuia Tanzania wasichimbe soda ash kwa kutumia mamluki wenu huko Ngorongoro ndio mmesha fail....kule kunasafishwa kila mtu arudi kwao tu.
 
I can bring you a million videos of Kenyans from different tribes praying together. Does that prove ukabila haupo?
Hicho kitu hakipo Tanzania tofaut na huko kwenu kila kabila lina kanisa lao ukijichanganya uingie kanisa la wakorino maarufu kama wagethomos na wewe ni legio Mario utabakia unaelea juu 😁😁😁😁😁
 
Watanzania wenzangu kwanza nime wamiss sana, mambo yanao endelea nchini mwetu ni mazito sana, tuwe waangalifu sana tusikubali ile policy ya devide and rule!

At this time and period we should hold our hands even more tightly and never let go.
Naamini we have a brighter future Tanzania needs us more than ever.

Mungu ibariki Tanzania mungu awabiriki wote!
 
Nani kakwambia Natron hakuna mining ya soda Ash? Picha uliyotuma ni ya Natron... Hiyo lake magadi ni extension ya Lake Natron.
Na janja yenu kuzuia Tanzania wasichimbe soda ash kwa kutumia mamluki wenu huko Ngorongoro ndio mmesha fail....kule kunasafishwa kila mtu arudi kwao tu.
Kindly show us proof that that is Lake Natron.
 
Hicho kitu hakipo Tanzania tofaut na huko kwenu kila kabila lina kanisa lao ukijichanganya uingie kanisa la wakorino maarufu kama wagethomos na wewe ni legio Mario utabakia unaelea juu 😁😁😁😁😁
Sawa.
Now, back to the topic, what are you doing to curb the udini that is chewing your country to the bone?
 
Akili ya kawaida inakataa kutetea mauaji kama yale, inaweza kuwa ni kulipwa au the case of being held at gunpoint.
Of course.
See Chamoto, I'm not denying that there are level headed Tanzanians who condemn the killings that happened in your country. But denying that a good section of your countrymen are blaming it on Kenya while trying to sanitize your government's role is being delusional. You know it's true. The fact that on this thread alone a third of your countrymen are singing this song is enough evidence.
 
Watanzania wenzangu kwanza nime wamiss sana, mambo yanao endelea nchini mwetu ni mazito sana, tuwe waangalifu sana tusikubali ile policy ya devide and rule!

At this time and period we should hold our hands even more tightly and never let go.
Naamini we have a brighter future Tanzania needs us more than ever.

Mungu ibariki Tanzania mungu awabiriki wote!
Waambie waache udini muendelee vizuri.
 
Back
Top Bottom