Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kakwambia Natron hakuna mining ya soda Ash? Picha uliyotuma ni ya Natron... Hiyo lake magadi ni extension ya Lake Natron.
Na janja yenu kuzuia Tanzania wasichimbe soda ash kwa kutumia mamluki wenu huko Ngorongoro ndio mmesha fail....kule kunasafishwa kila mtu arudi kwao tu.
Picha zimepostiwa za lake Magadi, unakana unasema ni Natron. Huwezi sema kitu bila udhibitisho. Ulafu unaweka picha zengine tofauti za Natron kama dhibitisho kisa Zina maji mekundu. Wewe mwenyewe umesema Magadi ni extension ya Natron. Meaning both lakes have red waters maanake they were once one lake. Sasa nakushangaa maana huna dhitisho polite kwamba hizo picha ni za Natron ila unabisha tu.
 
Nimekupa proof wewe unakuja na mashairii butu!..
Hiyo lake magadi ni kitu Cha ku force tu kama ile great migration ya wanyama.... view ya maana ni Tanzania.
The same to lake Natron...the home of flamingo 🦩... Iko Tanzania. Na picha ulizoweka ni za upande wa Tanzania.
 
1000219058.jpg
 
You're absolutely right, in my assignment based on certain signals, I have come to the same conclusion.

There was no external involvement, or at least, to the level that would have made a significant effect.

We all remember how Magufuli was treated by the globalists, remember the zica hysteria, the terrorists in Tanga and Mozambique, that was absolutely orchestrated from abroad.

Reutus, New York post, The Gardians, all these globalist organizations were caught off guard on Oct 29.

If there were an external force involved, these organizations would have had a field day prepping us before Oct 29 and talking about it from day one.
Halafu huyu bwana mdogo Venus Star anakuja hapa na kuongea mavitu anaokota tu huko mitandaoni kana kwamba anaongea na watoto simply kwakua ameanza interest haya haya mambo kwa kulishwa matango-pori na mashehe ubwabwa. 🚮

Kuna agenda nyingi walizobeba watu wa nje, kuna wanaotaka nchi ivurugike kabisa, kama Wakenya wengi, kuna wanaotaka Muungano uvunjike, kuna wanaotaka kuotoa kabisa CCM kwenye ramani and so on.
Sisi tunataka mabadiliko yatokanayo na concerns zetu wenyewe Watanzania nazo ni kundi ovu la ndani ya CCM linalo ongozwa na rais mstaaf.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1993412793836384651?s=20
 
Nimekupa proof wewe unakuja na mashairii butu!..
Hiyo lake magadi ni kitu Cha ku force tu kama ile great migration ya wanyama.... view ya maana ni Tanzania.
The same to lake Natron...the home of flamingo 🦩... Iko Tanzania. Na picha ulizoweka ni za upande wa Tanzania.
First of all, hakuna picha niliyoweka.
Secondly, hakuna proof umetoa. Unless you don't understand the meaning of proof.
Anyway, you're Amarii the liker. Suit yourself.
 
Sisi tumeongozwa na ma prezo wote na ma vise wote from different religions and faiths vp kwenu huko? Tuanzie Hapo😎
Kuongozwa na Mwislam haimaanishi udini haupo. Nigeria ni nchi iliyo na udini zaidi Afrika yet waneongozwa na same number of Muslims and christians.
Meanwhile SA Haina udini na wameongozwa na Wakristo pekee.
Yafaa uelewe Kenya Ina population ndogo sana ya Waislamu so probability ya Mwislam kupata urais Iko chini sana.
 
Of course.
See Chamoto, I'm not denying that there are level headed Tanzanians who condemn the killings that happened in your country. But denying that a good section of your countrymen are blaming it on Kenya while trying to sanitize your government's role is being delusional. You know it's true. The fact that on this thread alone a third of your countrymen are singing this song is enough evidence.
Nimekuandikia kitabu, bare with me.

Oct 29, 30 na siku zote internet imefungwa TZ, mimi na wewe tulikuwepo hapa. Mbongo pekee aliyekuwepo ni REAL Comrade Kipepe, at least aliyekuwa akichangia actively.

Wote tulilaani mpaka nikakuambia hii yetu ni mbaya, Kenya hamjawahi fiikia unyama huu. Kumbuka, hii ilikuwa kabla video na picha hazijaanza kutumwa mitandaoni.

Personally niliwashukuru wakenya kwa kuwa sympathetic hapa JF.

Hata baada ya internet kurudi na wenzetu walioshuhudia massacre kuja hapa, hawakuilaumu kenya.

Ni baada ya picha kuanza kutumwa mitandaoni, ndipo propaganda ya kulaumu wakenya ilipoanza ili kuficha unyama waliofanya.

Hao unaodhani ni wengi wanaoilaumu Kenya ni propaganda machine na nilisema hapa, hata kama kuna wakenya walihusika, impact yao ilikuwa ni ndogo sana blame yote in kwa serikali haramu.

Je, kuna baadhi ya wakenya wanafaidika na hii chaos, mfano watu wa sekta ya utalii na ndege? Of cause. Ila wakenya wa kawaida, walio wengi hawakuwa na sababu ya kufurahia.
 
Hakuna noma, wewe andika tu hata dictionary nitasoma vyema.
Ukosahihi ulichoeleza na kama ninavyokuambia, hukumu yangu haianzii kwenye haya matukio tu ya October 29. Wapo Wakenya wanaoipenda Tanzania na Kenya ni taifa lililojenga watu wake kwa fitna ndio maana policy yao dhidi ya Africa haijawahi kubadilika hata baada ya kuwa na serikali nyingi tangu uhuru.

I might be wrong kwenye hili la sasa na haya unayoyasema.

View: https://x.com/Eastleighvoice/status/1993571836035317885
 
Kuongozwa na Mwislam haimaanishi udini haupo. Nigeria ni nchi iliyo na udini zaidi Afrika yet waneongozwa na same number of Muslims and christians.
Meanwhile SA Haina udini na wameongozwa na Wakristo pekee.
Yafaa uelewe Kenya Ina population ndogo sana ya Waislamu so probability ya Mwislam kupata urais Iko chini sana.
Napenda the way have explained it lakini you have to know religion doesn’t matter kuna watu wicked in both faiths, kuna wahuni wana tumia kivuli cha dini! And if someone is suspected kuwa they want to divide and rule they should be called out!
 
Watanzania wenzangu kwanza nime wamiss sana, mambo yanao endelea nchini mwetu ni mazito sana, tuwe waangalifu sana tusikubali ile policy ya devide and rule!

At this time and period we should hold our hands even more tightly and never let go.
Naamini we have a brighter future Tanzania needs us more than ever.

Mungu ibariki Tanzania mungu awabiriki wote!
Mtu wa kutugawa na kututawala ni nani?
 
Back
Top Bottom