Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
With the affordable housing at Makongeni and Jogoo Rd Phase1, jogoo rd will attract alot of private investors investors who will transform that whole strech from Stadi to Doni interchange. I hope they will redo the road to match the new surroundings.Eastlands is now getting proper residential buildings.
I took the picture of this one at Makadara. Kitambo finishings kama hizo ungepata Tu Westlands, Milimani, Kileleshwa, Upperhill ama Lovington.
View attachment 3508860
Jogoo Road is easy to expand due to it's wide Midian.With the affordable housing at Makongeni and Jogoo Rd Phase1, jogoo rd will attract alot of private investors investors who will transform that whole strech from Stadi to Doni interchange. I hope they will redo the road to match the new surroundings.
![]()
![]()
Tena nikimtag yeye na Kikwete to a point Kikwete alikazimika kunyoosha maelezo Arusha baada ya kumshambulia twitter.Tumia akili kidogo, yaani mtu amekuwa akimtukana Samia na serikali yake, kila siku, unategemea wamlipe? Tena angekuwa bongo huyu wangeshampa kesi ya uhaini.
Hakuna kitu kama hicho mzee ni sawa na kusubiri meli airportWhat if the US and EU enact economic sanctions against TZ.. imagine the trade, tourism, travel bans etc.. Russia and China alone can’t sustain their economic growth especially in tourism. They will slump down to 4th world .
You can't take these countries serious.As Mombasa works to join in on the big league Nairobi, Addis, kinsahsha and Kigali's construction boom... I'm particularly fascinated by Addis!, this guy's are giving as a run! Bana🙌
Beijing,China❌️
Addis Ababa Ethiopia ✅️
👏🙌
View attachment 3508900View attachment 3508901
Young man, that is literally the truth in every country in the world. Just because the media decided to sensationalize the Kenya situation doesn't mean you are any better.Hutaona wakijibu hii. Kumbuka hao nusu ya Wakenya wote wanaishi kwenye umasikini uliokithiri yani extreme poverty
Sasa imagine number of Kenyans wanaoishi kwenye poverty tu in general
Eti watu 125 wanamiliki utajiri kuliko watu milioni 42.6. Hii nchi ni kituko 😂😂😂
Teargass NairobiWalker Chill
Wakenya ni masikini jeuri wanakufa kijerumani na tai shingoniHutaona wakijibu hii. Kumbuka hao nusu ya Wakenya wote wanaishi kwenye umasikini uliokithiri yani extreme poverty
Sasa imagine number of Kenyans wanaoishi kwenye poverty tu in general
Eti watu 125 wanamiliki utajiri kuliko watu milioni 42.6. Hii nchi ni kituko 😂😂😂
Teargass NairobiWalker Chill
Chukua chuma hicho. Wakenya mnatamani sana iwe hivyo. KwikwikwikwikwiYoung man, that is literally the truth in every country in the world. Just because the media decided to sensationalize the Kenya situation doesn't mean you are any better.
Nakuru will have the second longest Road Viaduct in East and Central Africa at 3.3km.
View attachment 3508970
Not every country, but a visionless and directionless banana republic like Kenya or South Africa.Young man, that is literally the truth in every country in the world.