Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

amazing
B8D09982-B34F-4606-B877-988D8D02B68F.jpeg
 
Kwa hivyo hata wewe unaamini kwamba mnachojenga hapo bongo ni bullet train? lol. Yani hizi siku zote mmeamini hivyo? Mungu wangu! Icho, hata kule ulaya, ni nchi chache tu amabazo ziko na bullet trains while almost all of them have electric trains. What you guys are building is an ELECTRIC TRAIN, not a bullet train. Don't confuse an electric train with a bullet train tafadhali. Mtaonekana wajinga sana
Ruxa kutoa povu
 
Kenyans face bleak year after poor maize, wheat harvests
Kweli dunia haina usawa, wakati ndugu mmoja anafurahia kupokea ndege yake, ametangaza tenda ya kununua train za umeme kwa pesa yake, anajenga rail ya umeme kwa pesa yake, ndugu mwengine anasumbukia chakulaa.
Hahahahaaa kwel sometimes life is not fair ila ndio hivyo...poleni kenyans msihofu mahindi tutawauzia huku mavuno yameongezeka maradufu hahahaga....na masikini hapa ndio anaonekana
 
subiri ijengwe iishe. ata wanaija walijenga yao kwa kupitia shida nyingi sana na hio gdp yao. na still bado walikopa. waethiopia nao bado wamekwama. it is only in Kenya where the railway was built in a record time
Sasa yenu si ni gari moshi au
 
Tenders, renders na "tuta" bado zitaendelea kama kawaida hapa Tz.
 
Back
Top Bottom