Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB65DA33-C067-458D-A792-17A0ADA9A96A.jpeg
 
kwa taarifa yako. Tanzania ni nchi maskini sana tena sana tena sana. kama hauamini... google 30most poorest nations in the world. so ubavu huo hamuna hata mutumie mchawi gani
Napenda sana data znavyowadanganya na hapo ndio tutawapitia maana nyie mnapokua bize kuchekelea data zisizo na uhalisia sisi maskini huku ndio tunapiga miproject ya kufa mtu nyie endeleni kushangaa tuu na data za kiboya hizo
 
kwa taarifa yako. Tanzania ni nchi maskini sana tena sana tena sana. kama hauamini... google 30most poorest nations in the world. so ubavu huo hamuna hata mutumie mchawi gani
hehehe kwann unachachawa sana na kinachokuumiza wewe ni kuona tanzania inafanya wonders 😀😀😀
 
kwa taarifa yako. Tanzania ni nchi maskini sana tena sana tena sana. kama hauamini... google 30most poorest nations in the world. so ubavu huo hamuna hata mutumie mchawi gani
Lakushangaza inafanya mambo makubwa kuliko hizo nchi tajiri kama Nigeria, wakati Lagos wanajazana katika vibasi vidogo dogo, na inachukua masaa hadi manne kumaliza safari moja, Dar tunatumia aina ya usafiri bora kabisa na wakisasa, Nigeria wamejenga train ya kizamani kama Kenya, Tanzania comes with bullet trains, hiyo ndiyo nchi masikini kabisa duniani
 
Mombasa, our second city...ask the tanzanians to bring their second city😀😀😀
jmv0QeT.jpg
Q4UmViR.jpg
YiU91td.jpg
lLwiSti.jpg
0r7g7fY.jpg
C4YM-RCXUAAJ2z7.jpg:large
8QwR8Tn.png
klUAASb.png
35095183465_8e8aaed8a8_b.jpg
34931165532_3b319c70de_b.jpg
vdpGL.jpg
m5eO.jpg
XW3PG3p.jpg
wDkaAgn.jpg
XBrGKPJ.jpg
29690982362_d75f158193_b.jpg
29511251660_5ba9385c3c_b.jpg
I am just arriving at Nairobi from MSA what a great place for the holidays... Had absolute fun! Cheers to the coastal mega city MSA!
 
Back
Top Bottom